UVIKO
JF-Expert Member
- Jun 14, 2021
- 293
- 362
Swali lako majibu unayao but ngoja nikujibu , professor siyo elimu kama unayoijua mfano kama chekechea ,primary , secondary , certificate ,degree nakadharika ,professa ni Elimu kubwa ambayo pia upatikanaji wake Una sitaili yake ,,vijana wengi tunakumbwa na Mambo kadhaa ambayo ni vigumu kumkuta kijana ni professor 1.majukumu tunayozongwa nayo mfano unahitaji uoe Kwa sababu age imeenda na Huyo mke pia ahudumiwe vizur Sasa ukikomaa kuandika machapisho ili uwe proffesa it is tolate. NI MAWAZO TUU