Heshima kwenu wakuu, mi sio mtoto na ni kijana senior nina 38yrs. Toka nimeanza mapenzi sijawahi kuwa na mschana ambaye sio kicheche.
Kwanza mm huwa ni mchunguzi na nina wivu kupitiliza, sasa cha ajabu kila nikipata mwanamke lazima tu nimfumanie, ama nigundue ananisaliti. Japo huwa najitoa kwa kila huduma kuwahudumia hawa viumbe. Nimejenga fikra kuwa wanawake wote ni wahuni na wanafanya sex hovyo tu. Cha ajabu huwa nikitaka kuwapiga kibuti huwa hawako tayari. At my age nina mschana ana miaka 20 nipo naye sasa kwa miaka 3, sikuwahi kufikiri kama anaweza kunisaliti. Alienda kwao likizo akiwa hukohuko nikamfumzania usiniulize nlifanyeje coz alikiwa kama 200km away. Akakiri kuwa amigehedwa mara kadhaa na mshkaji mmoja hivi na mara kwa mara nlikuwa nikihitaji namtumia nauli anakuja ama mm namfuata . Sasa nikamwambia tuachane akagoma kabisa alishtaki hadi kwa mama yake
Huo umr wako ulipaswa uwe kwenye ndoa ulete habari za michepuko umu au umefumaniwa na mkeo co story za mapenz mapenz mkuu! Jchunguze vzur
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Guys nina familia msinisakame, huyu alikuwa beki tatu wangu
Kabla sijakupa ushauri mubashara,kwanza nikuulize maswali mawili,Heshima kwenu wakuu, mi sio mtoto na ni kijana senior nina 38yrs. Toka nimeanza mapenzi sijawahi kuwa na mschana ambaye sio kicheche.
Kwanza mm huwa ni mchunguzi na nina wivu kupitiliza, sasa cha ajabu kila nikipata mwanamke lazima tu nimfumanie, ama nigundue ananisaliti. Japo huwa najitoa kwa kila huduma kuwahudumia hawa viumbe.
Nimejenga fikra kuwa wanawake wote ni wahuni na wanafanya sex hovyo tu. Cha ajabu huwa nikitaka kuwapiga kibuti huwa hawako tayari. At my age nina mschana ana miaka 20 nipo naye sasa kwa miaka 3, sikuwahi kufikiri kama anaweza kunisaliti.
Alienda kwao likizo akiwa hukohuko nikamfumzania usiniulize nlifanyeje coz alikiwa kama 200km away. Akakiri kuwa amigehedwa mara kadhaa na mshkaji mmoja hivi na mara kwa mara nlikuwa nikihitaji namtumia nauli anakuja ama mm namfuata .
Sasa nikamwambia tuachane akagoma kabisa alishtaki hadi kwa mama yake
Kwahiyo kwa miaka yako yote hiyo hujajua kuna Wanawake wa aina tatu, kuna wa kuoa, wa kura nae starehe na wa show off kwa Washikaji, sasa usikute wewe unafanya vice versaHeshima kwenu wakuu, mi sio mtoto na ni kijana senior nina 38yrs. Toka nimeanza mapenzi sijawahi kuwa na mschana ambaye sio kicheche.