Yegomasika
JF-Expert Member
- Mar 21, 2009
- 13,164
- 61,276
38yrs .. Hujaoa tu ukatulia mkuu?? ...
And he doesn’t sound like a 38yrs old guy! [emoji1]
38yrs .. Hujaoa tu ukatulia mkuu?? ...
safi sana uko makiniinamaana ulianza nae akiwa na miaka 17.
Yaani acha tu alikuwa anatembea na minor tena anakuja kutuambia humu ambae kiukweli anamzaa kabisasafi sana uko makini
Nimependa ulivyochungulia fursa..Mimi sio kicheche na nimtu mzima 😅😆😆😆
😂😂😂Nimependa ulivyochungulia fursa..
😅😅😅😅una nyota ya ukimwi
kuna wake ni wife material aisee achaa, ila sema kama manzi amesha kutana na wanaume wengi jua kuku cheat ni sekunde maana ana uzoefu wa kutoshaWanawake wote vicheche..ni kwa kuwa huwafuatilii tu,wenye kazi na wasiokua nazo
hao haba sana..usidanganywe na muonekano..wanajua kuigiza hata kwa miaka mitatu..mradi wapate watakachokuna wake ni wife material aisee achaa, ila sema kama manzi amesha kutana na wanaume wengi jua kuku cheat ni sekunde maana ana uzoefu wa kutosha
Nimekuelewa hapakuna wake ni wife material aisee achaa, ila sema kama manzi amesha kutana na wanaume wengi jua kuku cheat ni sekunde maana ana uzoefu wa kutosha
Afu kingne Mungu anampa wa kufanana naeJiangalie kwenye kioo Labda na wewe kicheche