Hivi kwanini kila nikitongoza mwanamke ni kicheche

Tatizo unatafuta mlokole miongoni mwa barmaids. Si kwamba hawapo kabisa. Una asilimia 0.001 ya kumpata.
 
Tatzo unachukua ambao sio rika inaonekana wanafata pochi kwako na mbaya zaidi unashindwa kuwatimizia mahitaji yao ya kingono kutokana na age yako hapo suluhisho tafuta wahenga wenzio
Nakazia apo
 
Eti nini? Kagoma umwache na akakushtakia kwa mama yake? Dah utakuwa na matatizo kichwa kiko sawa kweli mkuu? Hata huyo mamaake atakuona hamnazo .
 
Heshima kwenu wakuu, mi sio mtoto na ni kijana senior nina 38yrs. Toka nimeanza mapenzi sijawahi kuwa na mschana ambaye sio kicheche.
Kwanza mm huwa ni mchunguzi na nina wivu kupitiliza, sasa cha ajabu kila nikipata mwanamke lazima tu nimfumanie, ama nigundue ananisaliti. Japo huwa najitoa kwa kila huduma kuwahudumia hawa viumbe. Nimejenga fikra kuwa wanawake wote ni wahuni na wanafanya sex hovyo tu. Cha ajabu huwa nikitaka kuwapiga kibuti huwa hawako tayari. At my age nina mschana ana miaka 20 nipo naye sasa kwa miaka 3, sikuwahi kufikiri kama anaweza kunisaliti. Alienda kwao likizo akiwa hukohuko nikamfumzania usiniulize nlifanyeje coz alikiwa kama 200km away. Akakiri kuwa amigehedwa mara kadhaa na mshkaji mmoja hivi na mara kwa mara nlikuwa nikihitaji namtumia nauli anakuja ama mm namfuata . Sasa nikamwambia tuachane akagoma kabisa alishtaki hadi kwa mama yake
Mimi sio kicheche na nimtu mzima 😅😆😆😆
 
Kwahyo bro hao ni michepuko au ndio unataka kujiweka
 
Tatzo unachukua ambao sio rika inaonekana wanafata pochi kwako na mbaya zaidi unashindwa kuwatimizia mahitaji yao ya kingono kutokana na age yako hapo suluhisho tafuta wahenga wenzio
Mkuu mtoa mada amesema yeye ni kijana mbichi kabisa wa miaka 38,kwanini unasema ni muhenga?[emoji23] [emoji23]
 
Heshima kwenu wakuu, mi sio mtoto na ni kijana senior nina 38yrs. Toka nimeanza mapenzi sijawahi kuwa na mschana ambaye sio kicheche.
Kwanza mm huwa ni mchunguzi na nina wivu kupitiliza, sasa cha ajabu kila nikipata mwanamke lazima tu nimfumanie, ama nigundue ananisaliti. Japo huwa najitoa kwa kila huduma kuwahudumia hawa viumbe. Nimejenga fikra kuwa wanawake wote ni wahuni na wanafanya sex hovyo tu. Cha ajabu huwa nikitaka kuwapiga kibuti huwa hawako tayari. At my age nina mschana ana miaka 20 nipo naye sasa kwa miaka 3, sikuwahi kufikiri kama anaweza kunisaliti. Alienda kwao likizo akiwa hukohuko nikamfumzania usiniulize nlifanyeje coz alikiwa kama 200km away. Akakiri kuwa amigehedwa mara kadhaa na mshkaji mmoja hivi na mara kwa mara nlikuwa nikihitaji namtumia nauli anakuja ama mm namfuata . Sasa nikamwambia tuachane akagoma kabisa alishtaki hadi kwa mama yake
PIGA CHINI
 
Utafukuza vicheche mpaka mwisho wa maisha yako

Unatembea na watoto ambao wanataka starehe na umewakuta hivyo hivyo na utawaacha na wataenda kwa wenzi wao wa zamani kama ulipowakuta
Huna mkataba nao unawachunguza ya nini au unafanya utafiti wa miaka 20?
 
mzee baba ungetaka wa kwako ungekata mgomba uweke ndani. we akiwa kicheche kausha kama umempenda tia mimba kwanza ukiona haeleweki tupa kule. angalia chata mzee baba
 
Embu anza kujichunguza wewe kwanza..yawezekana utimizi majukumu yako pale6x6
 
Pole sana...

1. Mpende mwanamke wako ila punguza wivu, kama upo usiwe wa kupitiliza mpaka kero.

2. Usimfuatilia mwanamke sana, utakuja gundua ambavyo vitakuumiza sana...

3. Punguza au acha dharau...

Cc: mahondaw
 
Heshima kwenu wakuu, mi sio mtoto na ni kijana senior nina 38yrs. Toka nimeanza mapenzi sijawahi kuwa na mschana ambaye sio kicheche.
Kwanza mm huwa ni mchunguzi na nina wivu kupitiliza, sasa cha ajabu kila nikipata mwanamke lazima tu nimfumanie, ama nigundue ananisaliti. Japo huwa najitoa kwa kila huduma kuwahudumia hawa viumbe. Nimejenga fikra kuwa wanawake wote ni wahuni na wanafanya sex hovyo tu. Cha ajabu huwa nikitaka kuwapiga kibuti huwa hawako tayari. At my age nina mschana ana miaka 20 nipo naye sasa kwa miaka 3, sikuwahi kufikiri kama anaweza kunisaliti. Alienda kwao likizo akiwa hukohuko nikamfumzania usiniulize nlifanyeje coz alikiwa kama 200km away. Akakiri kuwa amigehedwa mara kadhaa na mshkaji mmoja hivi na mara kwa mara nlikuwa nikihitaji namtumia nauli anakuja ama mm namfuata . Sasa nikamwambia tuachane akagoma kabisa alishtaki hadi kwa mama yake
inamaana ulianza nae akiwa na miaka 17.
 
Back
Top Bottom