Mkungo
JF-Expert Member
- Mar 12, 2009
- 222
- 134
Nimekuwa nikijiuliza hivi tuna Tanzania Education Regulatory Authority iweze kusimamia na kuboresha sekta ya elimu.Shule za English medium wanajipangia tu kiasi cha karo bila kujali hali halisi ya huduma wanazotoa. Hakuwa wa kuwakagua ili kujua kile wakisemacho ndo hicho kinachotolewa. Sekta imejaa wababaishaji na ajira zake ni mashaka matupu.
Kwanini serikali halilioni hili? Waliunda EWURA, SUMATRA nk wamesahau kweli elimu au chombo kipo lakini hakina meno?
Kwanini serikali halilioni hili? Waliunda EWURA, SUMATRA nk wamesahau kweli elimu au chombo kipo lakini hakina meno?