Hivi kwanini hamthamini chupi zenu dada zangu?

Hivi kwanini hamthamini chupi zenu dada zangu?

Obugwa Izoba

JF-Expert Member
Joined
Nov 16, 2013
Posts
10,466
Reaction score
11,641
Niko kwenye daladala hapa gali imejaa tumesimama, wadada kama wawili hivi wazuri. Wamevaa suruali na vitop vifupi kias kwamba akichezesha mkono tu chupi inaonekana maana imepanda juu zaid ya suruali!
Haya mambo mtakuja kuhamasishana kwenye daladaka iwe ishu maana kuna wanaume wengne akiona tu chupi hakamatiki. Kwa nin msivae nguo zinazofunika chupi zenu jaman?
Nimewah kuskia mdada akilalamika redioni kujikuta lijamaa limemtupia mbegu za kiume kwenye daladala. Mambo kama haya ndo yanasababisha au utashangaa lijamaa limekug'ang'ania kukukumbatia kwenye gari hata kama hamjabanana. Chunga sana hiki kishawish
 
Kuna jamaa jana kachezea kichapo cha haja kwenye daladala......(haihusiani na chupi) alijaribu kumbambia mdada, mwenzie kamvizia alivyotoa dudu tu akageuka kampa vitasa kadundwa kadundwa.... mashabiki(wanawake) wacha walichangie hadi akawa mbendembende kwa kichapo kama si konda kumuombea msamaha kwa juhudi angekuwa kwenye jengo la serikali kama sio polisi basi Muhimbili

Nikirudi kwenye mada....ushauri wa bure wanaume.... hebu zizoeeni hizo chupi maana kwa huu utandawazi mtapata kichaa
 
Ikiwa nzuri inavutia kuangalia bora ww unaona chup kuna wengine unaona mfereji kbs
 
Sasa kama ni wadada milion moja wavae wote vitopu na chupi zionekane njenje nani atasimama kutetea neno maadili katika jamii... si vzr kutetea uovu tuangalie twaenda wapi nani atakuwa mwanamke bora nani ataleta familia bora???? Mhuuuu dunia......😕😕😕😕www.ujenzi.kbo.co.ke
 
Kuna siku nliona mdada kavaa chupi ilochanika...yani me ndo nikaona aibu...!

Vaeni blauzi ndefu ndefu jamani..
 
Kuna siku nliona mdada kavaa chupi ilochanika...yani me ndo nikaona aibu...!

Vaeni blauzi ndefu ndefu jamani..

yaani vituko sana, mwingne nilimuona kavaa pedo nyeupe kaifunga kwa mkanda mkubwa balaa hadi luksi ikachanika na kubanduka na kpande cha nguo. ---- lnaonekana na yeye hajali! Nadhan yule hakuwa na chupi kabisa
 
Kuna siku nliona mdada kavaa chupi ilochanika...yani me ndo nikaona aibu...!

Vaeni blauzi ndefu ndefu jamani..

Khaaa utuwache tulale...tuvae ndefu wakati tunataka watu waone vyupi?
 
Kwa nini msivae nguo zinazositiri miili yenu?? Mtu anavaa sketi fupi kupita maelezo, mwone sasa anavyokazana kuivuta ifike magotini, ujinga mtupu.
Wengine kazi kuvaa miboxer michafu, wiki nzima na hizi kata K, hata aibu hawana njiani hata kanisani ni milegezo na visketi vifupi tu.. Ujinga mtupu...!
 
sawa, tuthamini miili yetu bas jaman wadau. Na wale wapenda kata k na boxer chafu si vema. Hata kama ni safi si lazma uonyeshe

Usisahau na wale wanaovaa nguo za kuonyesha makwapa af makwapa yenyewe yanatisha.....wanatia kinyaa kwa kweli..ptuuuu
 
Kwa nini msivae nguo zinazositiri miili yenu?? Mtu anavaa sketi fupi kupita maelezo, mwone sasa anavyokazana kuivuta ifike magotini, ujinga mtupu.
Wengine kazi kuvaa miboxer michafu, wiki nzima na hizi kata K, hata aibu hawana njiani hata kanisani ni milegezo na visketi vifupi tu.. Ujinga mtupu...!

Jmn wanaovaa mini sket alafu wanazfuta weng wao ni zle sket zenye material ya kujvuta kwa juu ukiwa unatembea
Ndo mana wanazvuta zrud kwa chin na znakuwa sio fupi
 
Aisee huko ni kutokujithamini na pia ni upungufu wa akili
 
Back
Top Bottom