Hivi kwanini hamthamini chupi zenu dada zangu?

Hivi kwanini hamthamini chupi zenu dada zangu?

Kuona chupi ya mdada siyo shida na shida ni mawazo yako umeyaweka katka mapenz. jalin kaz zenu kuliko ngono

Mawazo lazima yawepo labda kama wewe mbumbumbu kama uko fiti yawezekana ukashtuka hata kama hukumtamani utakumbuka hata wife.
 
Hakuna siku ipitayo bila mtu kuweka post ya ulalamishi humu jf kuhusu ya kina dada hivi mara kina dada vile, mbona wengi wenu nyiye kinababa mu walalamishi sana? Natambua kwamba hii ni tabia ya baadhi ya wanaume sio wote hivyo post yangu inawalenga wale wenye tabia hiyo. Kasoro za wanaume zipo lukuki mbona hamzisemi au hamzioni au wanaume mko perfect? Nitoe mifano michache; mtu anajijua miguu yake inanuka halafu anavua viatu kwenye daladala/basi au ndani ya nyumba na kukera watu wote ni sahihi? Mbona hamlalamikiwi au ni haki yenu kukera wengine? Boxer ndo zishatajwa humu, mtu habadilishi mwezi hadi inafubaa au kuota ukoko/ugaga au vyote, halafu unai display kwa kuvaa mlegezo? Makwapa ya baadhi wakaka na wababa yananuka kiasi kwamba akinusishwa mtu aliyezimia anaweza kuzinduka, kuna siku konda alinipitishia kwapa lake wakati anachukua nauli toka mtu wa nyuma yangu, nakumbuka ilikuwa asubuhi - looh! hapohapo nilisikia kizunguzungu na kichefuchefu kwa wakati mmoja. Baadhi ya wanaume muda mwingi wana midomo inayotoa harufu ya breweries au harufu nyinginezo, tena harufu zenyewe zinakuwa sio fresh kwasababu mtu hapigi mswaki vizuri, mdomo unachacha halafu unasemesha mtu huku umemsogelea karibu na pua au mdomo, unafikiri ana enjoy kunusa hiyo harufu? Halafu tabia ya ku generalise sio nzuri, kitu akifanya mtu mmoja sio useme kina dada wote - kama heading yako ilivyo hapo juu, hao wadada wawili uliowaona ndio walio expose nguo zao za ndani au unataka kutuambia wanawake wote unaowaonaga wewe nguo zao za ndani ziko nje? Maana yake hata za dada zako unazionaga?

taratibu mkuu... tunajaribu kuwekana sawa tu, ka we umeliona tatizo sehemu unalisema na sio kuvumilia wakati kuna sehemu ya kusea, alafu sio wote mpo hivyo ila ni wengi wenu siku hizi ndo mana inakela!!! kwa wanaume nadhani ni asilimia chache sana wanaofanya hayo mambo
 
Tatizo dada zetu nguo za club anaendea sokoni kariakoo.za beach anaendea posta na hospitali..nk
 
nyie kanisan kwenu wanaruhusu kuvaa milegezo??

KKKT hawaruhu, nguo fupi, za makwapa wazi, milegezo, kuvaa vipuli wanume, na ma tshirt yenye manembo mabaya kama scorpion and the like, pamoja na minyoo mibaya ya nywele.

hakuna kanisa linaloruhusu uvaaji hovyo, Ni kizazi cha nyoka kisichoelewa nguo ipi ivaliwe wapi...!!
 
Kuna jamaa jana kachezea kichapo cha haja kwenye daladala......(haihusiani na chupi) alijaribu kumbambia mdada, mwenzie kamvizia alivyotoa dudu tu akageuka kampa vitasa kadundwa kadundwa.... mashabiki(wanawake) wacha walichangie hadi akawa mbendembende kwa kichapo kama si konda kumuombea msamaha kwa juhudi angekuwa kwenye jengo la serikali kama sio polisi basi Muhimbili

Nikirudi kwenye mada....ushauri wa bure wanaume.... hebu zizoeeni hizo chupi maana kwa huu utandawazi mtapata kichaa

Kwa hali ilipofikia sasa, mwanamke mvaa suruali hanivutii tena when it comes to sex!

kama maungo yoote kila siku yako nje tu yanaonekana bure bure, unadhani hata sex appetite itakuwepo?

Maoni yangu tu, jaribuni kuvaa mavazi yatakayowafanya muolewe mapema.
 
Kasheshe ni kwa wale wanao vaa vikamba... mi nawaonega huruma ujue....maana vinawagegeda mchana kutwa dah wana moyo. teh teh

Hapa kwa ofisi mmh mi yangu macho tena ukute wamepiga na tusuali twao tunatoogopa kufunika kiuno na vigonga nyoka..teh.. balaa.
 
Sijamuona totoo evelyneSalt humu.
 
Last edited by a moderator:
tupendekeze katiba mpya izuie haya mambo basi
 
Niko kwenye daladala hapa gali imejaa tumesimama, wadada kama wawili hivi wazuri. Wamevaa suruali na vitop vifupi kias kwamba akichezesha mkono tu chupi inaonekana maana imepanda juu zaid ya suruali!
Haya mambo mtakuja kuhamasishana kwenye daladaka iwe ishu maana kuna wanaume wengne akiona tu chupi hakamatiki. Kwa nin msivae nguo zinazofunika chupi zenu jaman?
Nimewah kuskia mdada akilalamika redioni kujikuta lijamaa limemtupia mbegu za kiume kwenye daladala. Mambo kama haya ndo yanasababisha au utashangaa lijamaa limekug'ang'ania kukukumbatia kwenye gari hata kama hamjabanana. Chunga sana hiki kishawish

Muwaambie na wadogo zenu wa kiume wanaotuvali suruali mapajani na kutuachia nje
michupi yao michafu isiyofuliwa miezi miwili
 
Kama kyupi ni ile ile, na effect yake inatofautiana beach na kwenye daladala, jua tatizo ni mind set. Akili zetu zimeruhusu kuona chupi beach na kukataa kuziona kwenye daladala.

Jamani kongosho sasa beach ni kwa ajili ya kubarizi, kuogelea na mavaz yake ni kama vyupi na nguo nyingne za uwaz. Daladala huwez ingia na kyupi tu!! Tufauti ipo bhana.
 
Kama kyupi ni ile ile, na effect yake inatofautiana beach na kwenye daladala, jua tatizo ni mind set. Akili zetu zimeruhusu kuona chupi beach na kukataa kuziona kwenye daladala.

Wamekupata, kaz ni kwao kubadilika.
 
yaani vituko sana, mwingne nilimuona kavaa pedo nyeupe kaifunga kwa mkanda mkubwa balaa hadi luksi ikachanika na kubanduka na kpande cha nguo. ---- lnaonekana na yeye hajali! Nadhan yule hakuwa na chupi kabisa

Labda kkavaa T na pia wapi imeandikwa kuva pichu ni lazimaaa!!!,?????
 
Back
Top Bottom