Obugwa Izoba
JF-Expert Member
- Nov 16, 2013
- 10,466
- 11,641
- Thread starter
- #21
Usisahau na wale wanaovaa nguo za kuonyesha makwapa af makwapa yenyewe yanatisha.....wanatia kinyaa kwa kweli..ptuuuu
mkuu bora umeliona na hili. Wenyewe wanaita fashen na itokee mtu akose siti kwenye daladala asimame ameshkilia yale machuma kwapa lijianike utataman apate siti angalau akae