Hivi kwanini hamthamini chupi zenu dada zangu?

Hivi kwanini hamthamini chupi zenu dada zangu?

....mimi ndio wananipa tabu sana kwa kweli...nimenusulika kupigwa Mara kibao...jamani wadada mubadilike jamani mtatusababishia matatizo wenzenu...wengine tuna miaka hatujaona hata rangi...zaidi ya kwenye mapicha ya xxx..
 
mkuu nadhan wamekuskia maana unatia hadi huruma
 
Kitu ni mhusika upone akili, hata akiacha fereji lake nje wewe uone kama kiazi tu.
 
mm shaona ona mno mapaja , chupi nk mpka naona kawaida hata wakipita mbele. ukiwajua hawakusumbui.
 
....mimi ndio wananipa tabu sana kwa kweli...nimenusulika kupigwa Mara kibao...jamani wadada mubadilike jamani mtatusababishia matatizo wenzenu...wengine tuna miaka hatujaona hata rangi...zaidi ya kwenye mapicha ya xxx..

Kwa nini sasa unaidhulumu nafsi?Mwisho ubake wakati wadada wamejaa
 
sasa bichi na kwenye daladala kuna tofauti gani? Xhupi ni zile zile.

Jamani kongosho sasa beach ni kwa ajili ya kubarizi, kuogelea na mavaz yake ni kama vyupi na nguo nyingne za uwaz. Daladala huwez ingia na kyupi tu!! Tufauti ipo bhana.
 
Niko kwenye daladala hapa gali imejaa tumesimama, wadada kama wawili hivi wazuri. Wamevaa suruali na vitop vifupi kias kwamba akichezesha mkono tu chupi inaonekana maana imepanda juu zaid ya suruali!
Haya mambo mtakuja kuhamasishana kwenye daladaka iwe ishu maana kuna wanaume wengne akiona tu chupi hakamatiki. Kwa nin msivae nguo zinazofunika chupi zenu jaman?
Nimewah kuskia mdada akilalamika redioni kujikuta lijamaa limemtupia mbegu za kiume kwenye daladala. Mambo kama haya ndo yanasababisha au utashangaa lijamaa limekug'ang'ania kukukumbatia kwenye gari hata kama hamjabanana. Chunga sana hiki kishawish

Aaa wapi, wabongo acheni complain, kina dada wanawapenda so wanataka msafishe macho..kama mbavyo unavyokatiza kwenye show room ukakuta E voque mang'anyu, inang'aa...mbona msivunje vioo...we mrukie dada wa watu ukione cha moto.

Tatizo wabongo tumejaa unafiki, tunapenda kuona lakini tunavunga....huko uswazi vigodoroni wanacheza mpaka wanavua nguo, na hakuna anayerukiwa wala nini......mitandaoni habari ikiwa na kichwa " Aibu Irene akutwa mapaja yote nje" mpaka mtandao unajam mnavyokuwa busy kudownload, na hapo hapo pembeni kuna habari ya "muelekeo wa uchumi Tanzania' huko wala hamgusi.
 
Jamani kongosho sasa beach ni kwa ajili ya kubarizi, kuogelea na mavaz yake ni kama vyupi na nguo nyingne za uwaz. Daladala huwez ingia na kyupi tu!! Tufauti ipo bhana.

kweli kabisa, context ndo inadefine unavyotakiwa kuonekana. Mambo ya beach au kwenye vigodoro ni tofauti na kwenye daladala au sehem nyngne za heshma
 
Hakuna siku ipitayo bila mtu kuweka post ya ulalamishi humu jf kuhusu ya kina dada hivi mara kina dada vile, mbona wengi wenu nyiye kinababa mu walalamishi sana? Natambua kwamba hii ni tabia ya baadhi ya wanaume sio wote hivyo post yangu inawalenga wale wenye tabia hiyo. Kasoro za wanaume zipo lukuki mbona hamzisemi au hamzioni au wanaume mko perfect? Nitoe mifano michache; mtu anajijua miguu yake inanuka halafu anavua viatu kwenye daladala/basi au ndani ya nyumba na kukera watu wote ni sahihi? Mbona hamlalamikiwi au ni haki yenu kukera wengine? Boxer ndo zishatajwa humu, mtu habadilishi mwezi hadi inafubaa au kuota ukoko/ugaga au vyote, halafu unai display kwa kuvaa mlegezo? Makwapa ya baadhi wakaka na wababa yananuka kiasi kwamba akinusishwa mtu aliyezimia anaweza kuzinduka, kuna siku konda alinipitishia kwapa lake wakati anachukua nauli toka mtu wa nyuma yangu, nakumbuka ilikuwa asubuhi - looh! hapohapo nilisikia kizunguzungu na kichefuchefu kwa wakati mmoja. Baadhi ya wanaume muda mwingi wana midomo inayotoa harufu ya breweries au harufu nyinginezo, tena harufu zenyewe zinakuwa sio fresh kwasababu mtu hapigi mswaki vizuri, mdomo unachacha halafu unasemesha mtu huku umemsogelea karibu na pua au mdomo, unafikiri ana enjoy kunusa hiyo harufu? Halafu tabia ya ku generalise sio nzuri, kitu akifanya mtu mmoja sio useme kina dada wote - kama heading yako ilivyo hapo juu, hao wadada wawili uliowaona ndio walio expose nguo zao za ndani au unataka kutuambia wanawake wote unaowaonaga wewe nguo zao za ndani ziko nje? Maana yake hata za dada zako unazionaga?
 
Niko kwenye daladala hapa gali imejaa tumesimama, wadada kama wawili hivi wazuri. Wamevaa suruali na vitop vifupi kias kwamba akichezesha mkono tu chupi inaonekana maana imepanda juu zaid ya suruali!
Haya mambo mtakuja kuhamasishana kwenye daladaka iwe ishu maana kuna wanaume wengne akiona tu chupi hakamatiki. Kwa nin msivae nguo zinazofunika chupi zenu jaman?
Nimewah kuskia mdada akilalamika redioni kujikuta lijamaa limemtupia mbegu za kiume kwenye daladala. Mambo kama haya ndo yanasababisha au utashangaa lijamaa limekug'ang'ania kukukumbatia kwenye gari hata kama hamjabanana. Chunga sana hiki kishawish

Weka Picha Mkuu
 
Kwa nini msivae nguo zinazositiri miili yenu?? Mtu anavaa sketi fupi kupita maelezo, mwone sasa anavyokazana kuivuta ifike magotini, ujinga mtupu.
Wengine kazi kuvaa miboxer michafu, wiki nzima na hizi kata K, hata aibu hawana njiani hata kanisani ni milegezo na visketi vifupi tu.. Ujinga mtupu...!
nyie kanisan kwenu wanaruhusu kuvaa milegezo??

KKKT hawaruhu, nguo fupi, za makwapa wazi, milegezo, kuvaa vipuli wanume, na ma tshirt yenye manembo mabaya kama scorpion and the like, pamoja na minyoo mibaya ya nywele.
 
Kuona chupi ya mdada siyo shida na shida ni mawazo yako umeyaweka katka mapenz. jalin kaz zenu kuliko ngono
 
Back
Top Bottom