Matatzo mbambali ikiwemo kuporomoka kwa elimu na migomo ya mara kwa mara,kuanzishwa kwa utitiri wa vyuo vnavotoa degree yamechangia vijana wengi wanaomaliza form 6 kubadili mtazamo wao kuhusu udsm.ukiacha coet ambayo ndo mama wa engineering hapa nchini coz zngne kama za biashara au law,watu huwa wanaona btr wakasome kwngne so udsm ikajikuta haipokei maombi ya zle dv 1 mengi so wakawa hawana alternative zaidi ya kushusha cut off points zao ili waweze kupata wanafunzi wengi.
Wanajukwaa hili la elimu ningependa tujadili sababu ya chuo kikuu mlimani kushusha cut-off point(kiwango cha chini kabisa kuingia chuo) katika miaka ya hivi karibuni na mpaka hivi sasa madaraja ya 2 na 3 ndio yamejaa ukilinganisha na miaka ya nyuma daraja la kwanza ndio kilikua chuo kile.
Tuchangie kwa lengo la kujua matatizo yanayo kikabiri chuo chetu kikongwe,Je ni ubovu wa uongozi? Idadi ya daraja za kwanza zinaishia wapi? Au taaluma zinazotolewa pale ni outdated kwahiyo wanafunzi wamegundua ndio maana wajanja hawakichagui? Au Wanafunzi wanafuata mashinikizo ya kaka na dada zao kuwa mlimani imebaki jina tu? Hoja yako inaitajika.
naomba utuwekee trend ya cut off points kwa miaka ya karibuni ili tuweze kujadili kwa kutumia ushahidi
mfano telecom wamechukua mpaka mtu wa 2.10,bsc in computer science 3.13.bsc with computer science 3.15,pale conas ndio siandiki maana almost div 3 za pcb zote zimeishia pale.kuhusu coet ndio kabisa course kama electrical,civil na chemical processing ukiwa na div 2 lazima upate,div 1 zinaishia wapi mpaka hawa wa 2 wanapata huku admission capacity kwa enginieering ni almost watu 20 kwa coet?
Tele na computer science hizo ni baadhi za course zilizo kuwa hot cake pale coict sasa huku kwingine sipaongelei maana kuna course za arts.
Ushasema zamani,vyuo vilikua vichache sana,hakuna cha siasa wala nini,unaweza ukaja na one na ukakamatwa na malecture,kaka zangu wa 3 year wamedisco juz na walikua na one,ukija chuo unaanza upya,mambo ya one ni ilikua sb tz enzi hizo watu wote wanategemea ud tu.na kilionekana bora sb hakuna competition kiko che nyewe,sa hivi hakuna cha ud wala cha mlimani,kwanza wanaojinga ni wachache sana sb shule za f5 ni nyingi,na usinganganie cutoff mana gp ya ufaulu inabadilika na mwisho watu haaply ud mana kuna complication kibao,

Kilaza mwenyeweeeeee*10000000000000000000000000000000000000000000000000