Afadhali uchelee, kusema Bunge ni dhaifa ni kulitukana Bunge!.Ninachelea kusema Bunge letu linaiogopa serikali na ni dhaifu mno kwa serikali.
P anakumbuka ule moto uliomuwakiaAfadhali uchelee, kusema Bunge ni dhaifa ni kulitukana Bunge!.
Bunge liheshimiwe!.
P
Afadhali uchelee, kusema Bunge ni dhaifa ni kulitukana Bunge!.
Bunge liheshimiwe!.
Kwa hiyo P amekuwa mpole sanaP anakumbuka ule moto uliomuwakia
Na waliopiga makofi kumshangila Lugola wakati anamuita Assad "muongo" ndo haohao leo wanamshangilia mw/kiti wa PAC anapomtaka Kangi kufika mbele ya kamati!! Chama cha manyumbu
Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo hukutudokezea kibano ulichopata, Ila msimamo wako baada ya wito ule kila mtu alijua hawa siyo watu wazuri, ukweli wameubatiza wanaita matusi au uchocheziAfadhali uchelee, kusema Bunge ni dhaifa ni kulitukana Bunge!.
Bunge liheshimiwe!.
P
vil.za tu wale, wamejificha kwenye kivuli cha "waheshimiwa"!.Afadhali uchelee, kusema Bunge ni dhaifa ni kulitukana Bunge!.
Bunge liheshimiwe!.
P
Liheshimu ww njaa kaliAfadhali uchelee, kusema Bunge ni dhaifa ni kulitukana Bunge!.
Bunge liheshimiwe!.
P
Ndio kisheria ni hivyo lazima mbunge dhaifu dhaifu awekwe hapo kama bendera.Correction: Chairman wa PAC ni mbunge kupitia CHADEMA na sidhani kama kuna mhimili upo Kwa ajili ya kuwajibisha mwingine, kilichopo ni kwamba Bunge Kwa kupitia Kamati linatuwekea macho na masikio Sisi wenye nchi yetu na serikali.. Chairman alitakiwa aseme yote waliyoyaona na kuyasikia ambayo ana amini sio Sawa na atoe maazimio Bungeni... wabunge wakae kama Kamati na watoe maazimio Kwa serikali Kwa kupitia Waziri Mkuu Kwa utekelezaji...na the way navyowajua wabunge wetu maazimio yangekua Waziri ajiuzuru.. guess what..Magu aliwawahi na PAC walikua wameshaandaa Hotuba Yao na kujipanga kuwasha Moto Bungeni...SIASA NI HESABU...Huu ni mwaka wa Uchaguzi..hakuna upande uko tayari kuupa mwingine political milage.
hahahahaaahh hutaki kurudi tena huko!! yaani kusema ni dhaifu inakuwaje??Afadhali uchelee, kusema Bunge ni dhaifa ni kulitukana Bunge!.
Bunge liheshimiwe!.
P
Huko siyo kuzuri, tangu ahojiwe amekuwa tofauti kabisa na Pascal wa awali. Sijui aliminywa sehemu gani!!! Wale watu siyo wazuri kabisa, Pascal wa kiti moto kawa baridiiii!!!hahahahaaahh hutaki kurudi tena huko!! yaani kusema ni dhaifu inakuwaje??