Hivi kwanini bongo hakuna viyu kama hivi?

Tupo kwenye zama za fitina mbele maendeleo mwiko.Huoni star Tv wamejitoa startimes?
Huko kwenye streaming si ndo balaaa?
Nafikiri ni muda mwafaka kwa Tanzania ku-experience streaming katika kipindi hiki cha speed kali kwenye technologia,na wizara husika ijipange kwenda na wakati na si kujisahau katika kipindi hiki cha ushindani kwenye nyanja zote.
 
Jana walipigwa beat nadhan watakua washarudi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…