my name is my name
JF-Expert Member
- Jan 12, 2015
- 2,016
- 2,402
.Hivi kwanini binadamu hatujapewa mapenzi kama walionayo mbwa? hapa duniani hakuna mnyama mwenye mapenzi ya kweli kama mbwa. kama binadamu tungepewa mapenzi kama ya mbwa Dunia ingekuwa sehemu salama ya kuishi.
[emoji23][emoji23][emoji23]Mbwa mwenyewe mkuu
Hahahahatuna mapenzi ya mbwa nani kasema? binadamu wanayo mapenzi hayo hata dog style ni ya mbwa
Anamaanisha labda kung'ang'anianaMapenzi ya mbwa yakoje?
.Mapenzi ya mbwa yakoje?
ππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππhatuna mapenzi ya mbwa nani kasema? binadamu wanayo mapenzi hayo hata dog style ni ya mbwa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mbwa mwenyewe mkuu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Usishangae kuskia mleta uzi anasema mbwa hawaombani hela.Maana ukata unalevya zaidi ya pombe ya uyoga.