MALCOM LUMUMBA
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 21,035
- 64,851
Raisi wa Algeria ameivunja idara yao ya Usalama wa taifa.
Inasemekana ni moja kati ya Idara zilizokuwa na nguvu sana hapa Barani Africa.
Hii ilianza baada ya kumtoa mkuu wa Idara hiyo ambaye alikuwa ofisini kwa zaidi ya miaka 25.
Hebu wataalamu naomba mtujulishe. Idara kama hii ikivunjwa hakuna hatari yoyote kwa nchi?