What do you mean Sir...
Nyani Ngabu Labda mie niko tofauti maana kila siku mama Ngina anakuwa mpya kabisa.........I mean the things you do not have always seem more appealing than the things you do have.
Nyani Ngabu Labda mie niko tofauti maana kila siku mama Ngina anakuwa mpya kabisa.........
Mwanamke anaonekana kuwa mzuri anayetamanisha na anayefaa kuoa pale anapokuwa siyo mkeo, lakini akishakuwa mkeo kila kitu kinabadilika.
Sijasema anakuwa mbaya lakini.......
si uongo.......yaani hata wanaume ndio hivyo hivyo.....unaacha mumeo unaenda kutembea na mume wa mtu......ndio hali halisi......kote kote ni hivyo.......