Spinster JF-Expert Member Joined Mar 19, 2012 Posts 487 Reaction score 138 Jul 30, 2012 #1 hivi kwa nini utakuta unayempenda hana mapenzi na wewe,lakini usie mpenda uwiiii yani anakuganda mpaka basi...kwa nn?
hivi kwa nini utakuta unayempenda hana mapenzi na wewe,lakini usie mpenda uwiiii yani anakuganda mpaka basi...kwa nn?
s.fm JF-Expert Member Joined Jul 8, 2009 Posts 663 Reaction score 117 Jul 30, 2012 #2 Akisha kupata utaona mapenzi yanapungua, halafu atajitokeza mwingine kukuganda tena...these thinx generate themselves,
Akisha kupata utaona mapenzi yanapungua, halafu atajitokeza mwingine kukuganda tena...these thinx generate themselves,
S sumni7 Member Joined May 8, 2012 Posts 71 Reaction score 10 Jul 30, 2012 #3 hii ki2 inakonfyuzi wengi ila mkipendana inakuwa pouwah xana
Kilahunja JF-Expert Member Joined Dec 19, 2011 Posts 1,500 Reaction score 344 Jul 31, 2012 #4 s.fm said: Akisha kupata utaona mapenzi yanapungua, halafu atajitokeza mwingine kukuganda tena...these thinx generate themselves, Click to expand... for sure!
s.fm said: Akisha kupata utaona mapenzi yanapungua, halafu atajitokeza mwingine kukuganda tena...these thinx generate themselves, Click to expand... for sure!
Purple JF-Expert Member Joined Feb 9, 2012 Posts 2,027 Reaction score 935 Jul 31, 2012 #5 Spinster said: hivi kwa nini utakuta unayempenda hana mapenzi na wewe,lakini usie mpenda uwiiii yani anakuganda mpaka basi...kwa nn? Click to expand... kwenye maisha kila kitu kina sababu lakini in this case hata mie celewi ni kwa nini ipo hivyo..
Spinster said: hivi kwa nini utakuta unayempenda hana mapenzi na wewe,lakini usie mpenda uwiiii yani anakuganda mpaka basi...kwa nn? Click to expand... kwenye maisha kila kitu kina sababu lakini in this case hata mie celewi ni kwa nini ipo hivyo..
BAK JF-Expert Member Joined Feb 11, 2007 Posts 124,769 Reaction score 288,337 Jul 31, 2012 #6 Wengine hubahatika wakakutana wanaopendana sana na hata kufanikiwa kufunga pingu za maisha. Spinster said: hivi kwa nini utakuta unayempenda hana mapenzi na wewe,lakini usie mpenda uwiiii yani anakuganda mpaka basi...kwa nn? Click to expand...
Wengine hubahatika wakakutana wanaopendana sana na hata kufanikiwa kufunga pingu za maisha. Spinster said: hivi kwa nini utakuta unayempenda hana mapenzi na wewe,lakini usie mpenda uwiiii yani anakuganda mpaka basi...kwa nn? Click to expand...
Spinster JF-Expert Member Joined Mar 19, 2012 Posts 487 Reaction score 138 Jul 31, 2012 Thread starter #7 BAK said: Wengine hubahatika wakakutana wanaopendana sana na hata kufanikiwa kufunga pingu za maisha. Click to expand... eti eeh...bt hyo ni golden chance....na huja kwa bahat mana kukuta watu wamependana mia mia ni adimu sana
BAK said: Wengine hubahatika wakakutana wanaopendana sana na hata kufanikiwa kufunga pingu za maisha. Click to expand... eti eeh...bt hyo ni golden chance....na huja kwa bahat mana kukuta watu wamependana mia mia ni adimu sana
felinda JF-Expert Member Joined Jun 23, 2012 Posts 351 Reaction score 139 Jul 31, 2012 #8 ingekuwepo hiyo ya kupendana wote kucngekuwepo na broken heart.....i dnt knw y but ucyempenda ndio anakupenda sana.
ingekuwepo hiyo ya kupendana wote kucngekuwepo na broken heart.....i dnt knw y but ucyempenda ndio anakupenda sana.
cartura JF-Expert Member Joined Aug 13, 2009 Posts 3,026 Reaction score 789 Jul 31, 2012 #9 mapenzi nayo ni dynamic.... yanaweza kupungua, kuongezeka au kuisha kabisa with time