Barbarosa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 22,584
- 27,838
Hili nimekuwa nikijiuliza sana, wakati nakuwa kitaani kwetu ilikuwa ni kawaida kwa Wanaume kugombania Mwanamke, walikuwa wanapigana ngumi kabisa mpaka kuumizana.
Nilivyokuwa nilipo sasa hivi Wanaume hawagombanii Wanawake ila Wanawake hujilengesha, na wakati mwingine wao ndo huvutana khanga na kununiana shauri ya Mwanaume mmoja ambaye wote wanamtaka.
Sasa kwa nini huko chini Wanaume wanapigania Mwanamke klk huku juu?