Hivi kwa nini Mo hakuonekana kwenye harusi ya Manara?

Ungekuwa na elimu ungekuwa unapost udaku,dada mkubwa huu mchezo hauhitaji hasira
Jamani Jamani,Tazama Vijana Wanaangamia kwa kukosa maarifa.Tatizo ni nini?? Kwenu wataalam wa masuala ya Ubongo.
Msaada wenu huenda ukamponya kijana wetu huyu aliyepata ukichaa.
 
Jamani Jamani,Tazama Vijana Wanaangamia kwa kukosa maarifa.Tatizo ni nini?? Kwenu wataalam wa masuala ya Ubongo.
Msaada wenu huenda ukamponya kijana wetu huyu aliyepata ukichaa.
Punguza hasira mke wangu,najua ni hiyo mimba changa inakufanya unichukie vumilia tu miezi tisa siyo mingi tutakwenda Sawa kama zamani.
 
Waifu wangu mwenyewe uyo!!!
Live long jf😂😂
Yani jukwaa la sports Unashabikia Mikia-Nipo chama kubwa Young african Tanzania .
Kwenye siasa-Unalamba miguu ya wana Ufipa😂😂
Sasa kwanini usiwe na mawazo mfu kama hayo??
Punguza kimoja!!!
Utakuja kupandwa na mabeberu ya uvccm taifa!!!
 
Live long jf
Yani jukwaa la sports Unashabikia Mikia-Nipo chama kubwa Young african Tanzania .
Kwenye siasa-Unalamba miguu ya wana Ufipa
Sasa kwanini usiwe na mawazo mfu kama hayo??
Punguza kimoja!!!
Utakuja kupandwa na mabeberu ya uvccm taifa!!!
Live long JF!!
2020_12_16_09.12.43.jpg
 
Back
Top Bottom