Beeh,
pede unene mbifiti sana.
Mbona picha haionekani?
Mnatuonea tu wivu kwa kuwa sisi ndio tunaongoza kwa kutoa ma hausi gell wengi tanzania
Hommie kuna wakati Japan iliongoza kwa vijana wake wengi kujiua/kukatisha uhai wao.........; Iringa wajomba zangu wana hasira naam hata mimi nimerithi na hasa nikihisi kuonewa kwa dhahiri!
Serikali inapo amua kubaki kimyaa na kulifumbia macho swala hili hamuoni kama ni hatari sana kwa vizazi vijavyo?
Serikali ifanyeje, kwa sababu mtu anapochukua uamuzi huu huwa hatoi tangazo kwamba sasa naenda kujinyonga.
Ingekuwa mtu anatangaza ingewezekana kuzuia.
tunamfuata mkwawa aliyejipiga lisasi!
Tunaposema serikali imelifumbia macho na kukaa kimyaa kama vile inaona haki mtu kujinyonga tunataka watu wa maeneo husika wapewe elimu ya kuzuia vitendo vya watu kujinyonga.