Hivi kwa nini mkoa wa Iringa watu wanapenda kujining'iniza?

Mimi nadhana kwa sababu ya kula ile nyama ya ''Alikuwa Kadogodogo" maana wana kichaa cha hawa wakati mwingine
 
Hakika wanahitaji kufunguliwa ubongo juu ya hili.
Suala la kujiua linawezekana lipo mikoa mingi ila mingine labda hampati taarifa halafu wengine mshakuwa biased kwamba ni iringa tu.
 
serikali inapo amua kubaki kimyaa na kulifumbia macho swala hili hamuoni kama ni hatari sana kwa vizazi vijavyo?

wenzio wakiona misiba ya watu awahuzuniki kama waonavyo mbwa barabarani we unahisi kufa kwao ni shida???kama uamini uliza mbeya hg aliewamaliza mama na watoto wake watatu akakimbia mapolisi walivyowjinga wakaanza kuwatafuta wenzao wa iringa wakauliza hakuna misitu karibu ...watu wakaanza kuhangaika siku 2 wakamkuta ananinginia polisi walicheka sana kesi kwishne..so kingine kibaya zaidi wakikupa panchi ujue kesi akuna weunaambiwa aliombwa atalipwa mshara wa mwezi huu mwezi ujao wee baadae akakubali shingo upande kumbe loh..hatari tupu....baba alipoondoka akamwacha mama na watoto akaweka mambo kwenye vyakula alipoona wamekufa akaona kwa nini huyu baba nae asije akaenda kuweka kwenye mmaji ile sumu ..mzee alipofika na kukuta miili hata maji ya kununua akuweza kunywa.....wana roho nyingine ukimwachia mwanao ndani unakaa kazini kwa mawazo sana bora hata wangekuwa wanaishia kutuibia waume zetu kuliko hasira zao....
 
Tayari hujaiona au unaumwa macho

Vp PM mbona haiji imeishia njiani nini?[/QUOTE]
 
Inawezekana pia kuna matukio kama hayo mikoa mingine lkn hayatangazwi kama ilivyo kwa Iringa! lkn pia watu wa huko wanapaswa kupewa ushauri nasaha kwa kupitia taasisi mbalimbali either za serikali,dini pia ina nafasi yake kubwa sana,,na NGO's.
 
Inawezekana pia kuna matukio kama hayo mikoa mingine lkn hayatangazwi kama ilivyo kwa Iringa! lkn pia watu wa huko wanapaswa kupewa ushauri nasaha kwa kupitia taasisi mbalimbali either za serikali,dini pia ina nafasi yake kubwa sana,,na NGO's.

Juzi hapa tayari wamejinyonga wa 3

Naona umefika wakati serikali iliangalia swala hili

Kwa mkoa wa Iringa matukio kama haya yamezidi sana
 
Back
Top Bottom