Hivi kwa nini mkoa wa Iringa watu wanapenda kujining'iniza?

Fidel80

JF-Expert Member
May 3, 2008
21,949
4,444
Mkoa wa Iringa yawezekana unaongoza kwa watu kuamua kukatisha uhai aidha kwa kujitundika au kwa kunywa sumu ukilinganisha na sehemu zingine.

Huyu ni askari wa kampuni ya ulinzi Force group security Charles Tuli (33) akiwa amejining'iza mkazi wa Kalenga akiwa amejining'niza maeneo ya Frelimo kwa kutumia mkanda wake wa suruali.

Askari huyu akining'ing'ia kwenye mpera ni kama futi 3 na kimo chake ni futi 5. ukiangalia kwa makini miguu yake imejikita chini ya ardhi.
Maswali mengi ya kujiuliza kwa nini watu wengi lringa wanapenda sana kujining'ing'niza? Kibaya zaidi hawaachi hata ujumbe ni kitu gani kilicho msibu mpaka akaamua kukatisha uhai wake inabaki tu ni siri yake. Je kuna haja serikali ikaanzisha kampeni kupiga vita watu wanao jinyonga?

IMG_9036.JPG

Kijana Nico Chalela (28) akiwa amejinyonga huku amepiga magoti eneo la mshindo

IMG_9030.JPG

Kijana Nico akiwa amening'ing'ia kiaina

IMG_9041.JPG

Askari Kanzu wakimtoa Nico kwenye kitanzi.

Tukio hili limetokea usiku wa kuamkia Krismas 2010
 
Beeh,
pede unene mbifiti sana.
Mbona picha haionekani?
Mnatuonea tu wivu kwa kuwa sisi ndio tunaongoza kwa kutoa ma hausi gell wengi tanzania
 
Huwa hawana subira akikelwa tuu anajinyonga!
Ila unaweza kuta hii iko kwenye damu bse si unakumbuka ata Mkwawa alijilipua
 
Beeh,
pede unene mbifiti sana.
Mbona picha haionekani?
Mnatuonea tu wivu kwa kuwa sisi ndio tunaongoza kwa kutoa ma hausi gell wengi tanzania

Vemu be mvina ndihulongela ndah si wifu

Tuseme huwa wanashindwa kuhimili mikhimikhikhi ya maisha au nini haswa?
 
Hommie kuna wakati Japan iliongoza kwa vijana wake wengi kujiua/kukatisha uhai wao.........; Iringa wajomba zangu wana hasira naam hata mimi nimerithi na hasa nikihisi kuonewa kwa dhahiri!
 
Huyo jamaa nahisi aligombana na mkewe akaenda kujitundika.Kwa kawaida wahehe ni wavumilivu lakini akikuambia "Swela" kimbia mwombe radhi.
 
Hommie kuna wakati Japan iliongoza kwa vijana wake wengi kujiua/kukatisha uhai wao.........; Iringa wajomba zangu wana hasira naam hata mimi nimerithi na hasa nikihisi kuonewa kwa dhahiri!

Sasa hommie hata kama una hasira ndo ufikie hapa jamani? Mi naona inahitajika elimu ya Mtambuka
 
nene mbifile hilo!swela hela!jamani msituonee wahehe mbona mikoa mingi tu wanajiua kwa sumu na kwa kujinyonga sema iringa ndio inatangazika sana!ni kazi sana kwa mhehe kuitawala hasira hasa akiona ameonewa!mahala popote pale nadhani hii kitu ipo kwenye damu kuirekebisha haiwezekaniki!
 
no comment. ni pepo tu hilo. ni sawa tu na pepo la wale wanaosubiri mwenzao achume wao wamtoe kafara....kila kabila na udhaifu wake. tusiwacheke.
 
Umesahau wakiona mzoga wa mbwa barabarani wanahuzunika sana sana embu watupe siri ya huzuni zile!!1
 
Inasikitisha, kijana bado halafu kaamua kujitoa uhai wake bila hata kuacha ujumbe.
 
Inasikitisha, kijana bado halafu kaamua kujitoa uhai wake bila hata kuacha ujumbe.

Serikali inapo amua kubaki kimyaa na kulifumbia macho swala hili hamuoni kama ni hatari sana kwa vizazi vijavyo?
 
Serikali inapo amua kubaki kimyaa na kulifumbia macho swala hili hamuoni kama ni hatari sana kwa vizazi vijavyo?

Serikali ifanyeje, kwa sababu mtu anapochukua uamuzi huu huwa hatoi tangazo kwamba sasa naenda kujinyonga.
Ingekuwa mtu anatangaza ingewezekana kuzuia.
 
Serikali ifanyeje, kwa sababu mtu anapochukua uamuzi huu huwa hatoi tangazo kwamba sasa naenda kujinyonga.
Ingekuwa mtu anatangaza ingewezekana kuzuia.

Tunaposema serikali imelifumbia macho na kukaa kimyaa kama vile inaona haki mtu kujinyonga tunataka watu wa maeneo husika wapewe elimu ya kuzuia vitendo vya watu kujinyonga.
 
Mkuu wewe si wa huko, anza wewe kutoa elimu hiyo bure halafu serikali itaona jitihada zako itakuunga mkono.

Tunaposema serikali imelifumbia macho na kukaa kimyaa kama vile inaona haki mtu kujinyonga tunataka watu wa maeneo husika wapewe elimu ya kuzuia vitendo vya watu kujinyonga.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom