Hivi kwa nini hamna tuition ya chuo kikuu?

Hivi kwa nini hamna tuition ya chuo kikuu?

We kialaza HR 666 umeweza kusapua sapu zako 5 katika masomo 8

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Unataka uwe wa kwanza darasani nshakuona

Chura bin Zigo kwanza mengine baadaye
 
Hivi ni kwa nini chuo kikuu hamna tuition?
Aisee napenda sana kuhudhuria vipindi vya tuition kuliko vya shuleni sijui itakuaje kwa kweli

Shuleni mimi ni doja mzuri ila tuition ni mhudhuruaji mzuri
Jamani anzisheni tuition za chuo wengine hatuwezi soma bila tuition

Ngaiza Lusima huyu jamaa namkubali sana
Unataka usome tuition juu ya tuition. Hicho chuo chenyewe kinatoa tuition tu sasa tuition nyingine ya nini
 
Back
Top Bottom