Tarime one
JF-Expert Member
- Nov 12, 2013
- 2,246
- 1,742
mmh, napiga kitu 2times ya nilicyopanga, walau nikifa nimemfaudu.
kama mchaga lazima anipe maelezo yakinifu
Hapo ni free.P
Hiyo ngumu kumeza kiongozi..mhmh
kama mchaga lazima anipe maelezo yakinifu
Mbona mwaogopa wachaga jamani kunani miss neddy
nishang'atwa na nyoka mie so nikiona unyasi lazima nshtuke lol
Ilikuwaje miss neddy? Tusimulie
niliponea tundu la sindano kula shaba ya kichwa u know i cant forget chaggaz lol
I wish kama ungeshare story nzima..
Okey ukishare husisahau kuniita..hahahaha i will share stay tuned