Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 117,967
- 218,861
Bila shaka .Huo ni ukosefu wa kazi za kufanya kwa kiongozi mkubwa wa nchi.
Mbona hukumshangaa huyu ambaye alikuwa mpk anagalagala kwenye mawe? Jiweeeee! HKiukweli nimeshangazwa sana na kitendo cha Rais wa Zanzibar kushiriki uzinduzi wa kilichoitwa Studio za Wasafi FM huko Zanzibar.
Unagombana na marehemu unaakili kweli!?Mbona hukumshangaa huyu ambaye alikuwa mpk anagalagala kwenye mawe? Jiweeeee! H
Huyu mtu was a disgrace to our nation.
View attachment 2445119
Si bure kuna maruhani na mizimu ya hayati inakutafuna. Bila shaka kuna namna ulimfanyia ubaya, yanakurhdia. Kutwa kucha sentensi zako ni kulaani kusicholaanika.Mbona yule mtu mbaya alikuwa anazindua mpk vyoo vya stendi. Mmesahau mara hii?
Sukuma gang bwana! Sasa unataka kusemaje?
Like jitu baya lilikuwa linazindua mpk grocery halafu unataka kusema nn hapa?
Nitapambana na maiti hii mpk naenda kaburini. Na ninavyopambana naye ndiyo napata raha Sana.Unagombana na marehemu unaakili kweli!?
kama ni chuki tu inakuumizs wewe na Sikh si nyingi utapata kiharusi
We mwehu kweli maiti iko chato huku Jamiiforum imefuata nini!?Nitapambana na maiti hii mpk naenda kaburini. Na ninavyopambana naye ndiyo napata raha Sana. Hapa ulivyojibu ndiyo najua tusi langu limefika kwa walengwa (wafuasi wake kama wewe).
Hiyo picha ni ya dadako? Siyo picha yake? Sasa unalalama nn?Si bure kuna maruhani na mizimu ya hayati inakutafuna. Bila shaka kuna namna ulimfanyia ubaya, yanakurhdia. Kutwa kucha sentensi zako ni kulaani kusicholaanika.
Uzi hauhusiani na marehemu wewe unakurupuka kumtukana kama vile yeye ndiye kuuanzisha. Tafadhali fanya kazi utajikwamua kiuchumi, kama unapenda siasa Leta siasa za kujenga si za kubomoa kama ufanyavyo.
Haiingii akilini mda wote uko mitandaoni kulaani na kuleta uzushi kwa mtu ambaye hayupo na hatarudi. Vinginevyo mizimu yake inakutesa si bure. Badilika.....
Aisee hii nchi ya kikuda kichizi yaan raisi wa nchi unaenda kwnye uzinduz wa kituo cha redio Tena kituo kidogo Cha mtu binafsi, sijui tumerogwa na nani?!Kiukweli nimeshangazwa sana na kitendo cha Rais wa Zanzibar kushiriki uzinduzi wa kilichoitwa Studio za Wasafi FM huko Zanzibar.
Zanzibar inayojitambulisha kama nchi, inao mawaziri walioteuliwa na Rais huyo huyo, miongoni mwao yumo Waziri wa Habar , huyu ndiye alipaswa kushiriki huu uzinduzi wa Studio kama hizi.
Rais wa nchi yenye changamoto nyingi kama Zanzibar, kuacha kuhangaika na Matatizo ya Wananchi na kushobokea uzinduzi wa Wasafi FM, ni Ishara kwamba majukumu ya Urais ni mepesi sana, kwamba kwenye uzinduzi huo angehudhuria Waziri tu ama hata DC kungepungua kitu gani?
Kiongozi unaacha kuhangaika na Uchumi wa Bluu uliotuaminisha kwamba utaondoa umasikini wetu, unaanza kuhangaika na Studio za Wasela! Mbona hujitokezi kuokoa ZBC inayopumulia mashine? Viongozi wetu mbona mnatuchukulia poa sana aisee?