Hivi kutongoza ni kipaji?

..kutongoza ni sanaa....hakuna formula maalum...you must have a natural emparthy....kutambua haraka umuingieje mwanamke....sio lazima mbinu uliyoingia leo ikawezekana kwa mwingine........
watu wengine hufikiri kutongoza mwanamke chakaramu ni rahisi kuliko mpole...ukweli ni kuwa kwa mjuvi wa sanaa ya kutongoza ...ni rahisi sana kumpata mwanamke mkimya na mpole kuliko chaakaramu...

mwanamke chakaramu ....ni rahisi zaidi kuelewa mbinu za mwanaume....na hata anaweza kukubali ...ba baadaye akabadilika....na mara nyingi hukubali mwanamme amtaakaye na sio kwa ajili ya kudanganywa...
 
Yap. Mwanaume kamili hana longolongo anapohitaji 'kitu'.

Madem wanataka ulipue bomu. Hafu ukishalipua skilizia bila kuhofia retaliation.

Ukilipua lazima na yeye ajiulize cha kukujibu (lakini inategemea kama na yeye ni rijali). Na hapo ndo mazungumzo huanzia. Na mwisho kila kitu hukaa sawa.

Ukizunguka mbuyu tu..........watu wanakwapua.
 
Hapo kweye nyekundu ndugu yangu sijakubali kama umetulia na una mikakati yako unaweza kukaa hata miaka minne ukisubiri wakati muafaka hiyo kusema anaugua ni kujiendekeza tu kwanza kuruka ruka ovyo ni kuharibu afya yako na kupoteza nguvu zako tu
 
kwahiyo wanaume wengi mna kipaji kinachofanana kwa kujua kutongoza??!!..

Weeeee acha kabisa hatufanani maana kuna wengine akikusalimia tu tayari utahisi mwili unasisimka.Na akianza maneno yake unasikia usingizi.Akikushika mkono utatamani akushike milele na wala sio uchawi
 
kama mbinu ulieigundua ni hii ya ukikutana na demu mara ya kwanza salaam na 'natamani unipe hiyo kitu yako' bado saaana.
 
Weeeee acha kabisa hatufanani maana kuna wengine akikusalimia tu tayari utahisi mwili unasisimka.Na akianza maneno yake unasikia usingizi.Akikushika mkono utatamani akushike milele na wala sio uchawi

Paka Mweusi, naona idara hii uko fiti..nimekusoma!!..eeh, salamu tu msisimko kweli si mchezo!!!!.. umenichekesha
 
Paka Mweusi, naona idara hii uko fiti..nimekusoma!!..eeh, salamu tu msisimko kweli si mchezo!!!!.. umenichekesha

Unajua wale mapaka weusi wanamikosi sana! huenda huyu jamaa anatokea kwa bibi manyau kule Mwananyamala
 
hakuna wanawake rijali ndugu. Urijali ni kwa wanaume tu. Ukiona chalema tumia wallet tu. Hawapendi longolongo siku hizi
 
Unajua wale mapaka weusi wanamikosi sana! huenda huyu jamaa anatokea kwa bibi manyau kule Mwananyamala

ha ha..nilikuwa nikikutana na paka weusi nashtuka na kukimbia hata kama hawakimbizi..sijui ni imani au ndo akili imekuwa imekariri paka weusi wana mambo ya kichawi...
 
Aisee naomba hiyo mbinu yako uliyoibuni pls, maana mimi hadi leo nina shida ya kutongoza aisee! Maria Rosa amenisumbua PM hadi nimeamua kuiblock maama maona maneno hayatoki.
 
Mungu wangu weweeeeee

Mimi ukija na hiyo gia nakukimbiza km ifuatavyo yani.Jamani kwa style hiyo unampata mtu kweli?Mimi mwanamke njoo nikupe maujuzi ya kutongoza kaka.

Pole sana
 
Paka Mweusi, naona idara hii uko fiti..nimekusoma!!..eeh, salamu tu msisimko kweli si mchezo!!!!.. umenichekesha

BJ usiombe kukutana na wataalam wa aina hiyo maana hata kama uko kwenye ndoa ujue shetani anakaribia na bila kujijua tayari umemsaliti mwenzi wako ni hatari
 
ha ha..nilikuwa nikikutana na paka weusi nashtuka na kukimbia hata kama hawakimbizi..sijui ni imani au ndo akili imekuwa imekariri paka weusi wana mambo ya kichawi...

Usihofu ukikutana na paka mweusi mie wala hutoniogopa tena utatamani uwe nami milele
 
kutongoza ni sanaa
but cha kushangaza ni kuwa most of the time
mwanamkeanakuwa alishaamua zamani akubali au asikubali....
wanawake wana weza kukutazama kwa dakika moja tu na akaamua yes or no...

kabla hata hujaamua kumtongoza...

muhimu kwa mwanaume uwe na quality za ujumla
ambazo kila mwanamke angepnda kuwa na wewe.....hata kama hujui kutongoza....
 
Mungu wangu weweeeeee

Mimi ukija na hiyo gia nakukimbiza km ifuatavyo yani.Jamani kwa style hiyo unampata mtu kweli?Mimi mwanamke njoo nikupe maujuzi ya kutongoza kaka.

Pole sana

naomba na mimi unipe hayo maujuzi Baby Angel!
 
Ya! Ni kipaji. Nakumbuka nikiwa Advance alikuwepo jamaa mmoja tuliyekuwa tunasoma naye alikuwa hajui kutongoza (alikuwa zuzu) mpaka tukampa jina la Curriculum.Wasichana wakimuuliza kuwa unapopiga saund demu unasemaje? ye akawa anasema 'Nimekumaind kama vp twenzetu geto' wasichana kujua hilo walimchezea mpaka tunamaliza.Lakini kitaaluma Curriculum alikuwa fit sana>
 
We unajua kutongoza wanaume tu! Maujanja yako siyo valid kwa wanaume.Lakini ukipigwa saund si unaingia line?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…