Hivi kutolewa bikra mpaka damu itoke?

Hivi kutolewa bikra mpaka damu itoke?

unashindwa kuuliza namna ya kutoboa ww unaulizia bikra na damu yan umeona jf kama ndo mahali pa kuchezea...!!!!k
 
Asalaam waungwana
Kuna kitu kinanitatiza hapa kuhusu bikra wengi wanasema kama hujawhi kufanya mapenzi ndo bikra na siku ya kwanza kufanya hivyo lazima upate maumivu pia damu lazima itoke asa kama damu ijatoka na hujapata maumivu zaidi tu umejisikia hovyo mwili kuchoka na hamu ya chakula kama homa hivi huna halafu ndo siku ya kwanza hujawahi fanya hilo tendo kabla inakuaje hapo?
Hizo dalili zinaonesha mimba imeingia.
 
Kiufupi ni kwamba hamjapga gemu, Kama gemu imepgwa basi usalama katika hiyo kitu ni mdogo kabisa
 
Lazima itoke isipotoka hiyo feki

Kuna wadada machangu wa siku hizi, wanajifanya mabikira baada ya kufanya uchangu kwa muda mrefu, wanakula dawa za mitishamba kuziba ile sehemu. Siku ukienda naye chumbani kumbikiri anajifanya analia kana kwamba anakuogopa lakini anakuwa na tomato sauce yake kwenye mkoba/pakti, wewe unafanya yako huku ukijitoa fahamu mwenzio anafungua pole pole kale kajipakti na kumwaga kitandani kusema umembikiri huku akilia kwa uchungu. Na mwanamme kwa ujinga anaanza kujisikia na kujawa na raha za kutoboa, huku akifikiria kumpa talaka mke wake wa ndoa nyumbani kumuoa changu/mali ya umma.
 
Halafu wanadhani janja² yao haijashtukiwa
 
Soma achana na mambo ya kutombana mdogo wangu. Kama ulivyo sema haujasikia rahaa unafanya kwa kuiba inaonekana bado mdogo ndio kwanza form II. subiri umalize masomo utaona raha ya kutombana
Ushauri wa dingi
 
Kama ni natural damu lazima na huwa na huwa kama ugomvi Ni uzoefu kutoka kwa mke wangu hadi wiki ndio alikuwa comfortable
 
Back
Top Bottom