Hivi kutolewa bikra mpaka damu itoke?

Principle girl

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2014
Posts
1,675
Reaction score
1,755
Asalaam waungwana
Kuna kitu kinanitatiza hapa kuhusu bikra wengi wanasema kama hujawhi kufanya mapenzi ndo bikra na siku ya kwanza kufanya hivyo lazima upate maumivu pia damu lazima itoke asa kama damu ijatoka na hujapata maumivu zaidi tu umejisikia hovyo mwili kuchoka na hamu ya chakula kama homa hivi huna halafu ndo siku ya kwanza hujawahi fanya hilo tendo kabla inakuaje hapo?
 


hiyo itakuwa ya kichina
 
Kwani bado unayo bikra Mkuu?
 
Reactions: mcy
Bikra ilishatoka mda mrefu sana hiyo. Hiyo sio bikra kwa kifupi
 
Tupe uzoefu wako kwa mara ya kwanza kufanya uzinzi ilikuwaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…