Hivi kusinzia kwa wakubwa kwenye mikutano au vikao, kuna sababisha nani?

SEGUZO

JF-Expert Member
Sep 30, 2016
280
196
Wana JAMVI tatizo hili lipo duniani kote, haswa kwa viongozi walio kula jumvi nyingi ndio wenye tabia hiyo ya kusinzia vikaoni, nataka kujua chanzo cha tatizo hili ni nini?
Kwenu wakuu
e0d36658c5ce3a882add6b1e99b9c51c.jpg
 
Kuchelewa kulala. Hii picha nakumbuka ilikuwa sherehe fulani Zanzibar!
 
Wasira anataka kugombea 2020 wakati ndio kinara wa kuuchapa. Hawa watu usiku wanakuaga disco na totoz wakitoka huko mpaka wapigwe hendeli mpaka wafanikiwe kupata penelti moja bila kipa ni SAA moja asbh
 
Uongozi ni kazi sana, una ratiba nyingi sana kiasi kwamba kichwa chako muda wote kinawaza tu mpaka unajikuta umezubaa na kusinzia... Unaweza ukawa unasikiliza mambo fulani na muda huo huo ukiwa unawaza mambo mengine ya baada ya hapo...
 
simply wanakua BORED......

hamna kitu interesting kinachoendelea au kuwafanya wawe involved ,lol
 
Ukipiga masanga usiku halafu ukaamkia mchezoni alfajiri, usingizi wa mapema asubuhi au mchana lazima utakuhusu ndani ya mkutano au hata darasani, hasa kama unasikiliza pumba za mtoa mada.
 
Wana JAMVI tatizo hili lipo duniani kote, haswa kwa viongozi walio kula jumvi nyingi ndio wenye tabia hiyo ya kusinzia vikaoni, nataka kujua chanzo cha tatizo hili ni nini?
Kwenu wakuu
e0d36658c5ce3a882add6b1e99b9c51c.jpg
Hakuna kazi ngumu kama kutumia akili zaidi kuliko nguvu.unachoka sana.japo sisi tunawaona wamekaa tu.lakini ni kazi ngumu.
 
Wana JAMVI tatizo hili lipo duniani kote, haswa kwa viongozi walio kula jumvi nyingi ndio wenye tabia hiyo ya kusinzia vikaoni, nataka kujua chanzo cha tatizo hili ni nini?
Kwenu wakuu
e0d36658c5ce3a882add6b1e99b9c51c.jpg
Nikianza kupiga hesabu za dukani.nikitoka hapo hoi.kichwa kinauma macho yanauma.mbaya zaidi use umeingiza loss.lazma homa ikujie.najikuta nimelalia meza na usingizi juu.
 
Back
Top Bottom