Mleta mada haujawa specific kama ni browser ya simu au pc au mac
Lakini kwa kupitia uzi huu nimegundua unamaanisha browser ya pc
So far Chrome ni the best kama tu pc yako ina specifications za uhakika maana ina uzito mkubwa kwenye matumizi ya RAM
Mozilla ipo vizuri sana sema ina tatizo la ku stuck na crash za hapa na pale
Opera nayo sio mbaya sana