b2kkalwani
Member
- Jul 6, 2014
- 14
- 2
For me kuna browser inaitwa maxthone ni kali balaaa sifa zakeHabari wakuu naomba mnijuze kama kuna web browser iliyo na speed na yenye extension nyingi kushinda google chrome
nataka nijaribu browser mpya maana hii chrome nimetumia miaka mingi sasa japo iko safi na inanitimizia kila nachokitaka
mkuu baidu ya simu kama inafanana na ucbrowserKaribuni baidu spark browser
maxthon ilinishindaga 2014...labda saiv wawe wameboreshaFor me kuna browser inaitwa maxthone ni kali balaaa sifa zake
1. Multwindow maanake Unaweza kusign na na mtu ukishamaliza asione ulichokuwa unafanya
2. Kwangu mm sipendi matangazo hapa ndo komesho ya Ads zote hazitaonekana inablock juukwaju
3 iko simple sana sio nzito kwenye streaming life mpira movie
Iko private sana
Nimeitumia tangu 2012 tafuta uichukue iko poa sana sana
Kama unatumia simu uc browser is best opera chrome akina firefox hawaoni ndan
hah wapi saiv dolphin hana jipyaMkuu Dolfin browser IPO poa sana
kwenye pc japo naona watu wengi walidhan nahitaj kwa ajili ya simuunataka kutumia kwenye nini, maana swali lako liko too general...!coz hata hzi Comp program zina specific requirements zake?
Yap Ads zinakatwa jukwajuhiyo ucbrowser ina adblock wakuu??... maana sipendag ads
Maxthone iko poa sanakwenye pc japo naona watu wengi walidhan nahitaj kwa ajili ya simu
Achana na kupakulia play store we ingia Google search uc browser apk ila make sure Kule setting ume allow non play store apps
Mimi nimeshatumia zote lakini, Opera Min wataendelea kuwaburuza sana izi browser nyingine kwa apa kwetu Africa [emoji288].Yes n kweli nimeshatumia uc browser naikubali speed yake japo Kwa Sasa nipo operamini
Opera mini pia ni nzuri kwenye slow connections ukiset kwenye xtreme modeuc browser ya simu mwisho tab 10 tu
ila speed ni best
ila opera min wapo vizuri kimuonekano hata utumiaji ni rahisi
Kwasababu ina pambana na weak signal, kama net ipo slow yenyewe inapasua mawimbi tu.Mimi nimeshatumia zote lakini, Opera Min wataendelea kuwaburuza sana izi browser nyingine kwa apa kwetu Africa [emoji288].
Hii ni mwisho wa matatizo wcb hebu jaribuHabari wakuu naomba mnijuze kama kuna web browser iliyo na speed na yenye extension nyingi kushinda google chrome
nataka nijaribu browser mpya maana hii chrome nimetumia miaka mingi sasa japo iko safi na inanitimizia kila nachokitaka
Hivi uc browser inapatikana pia kwenye Laptop window 10? Mimi naikubali sana Hii uc kwenye simu niambieni kama ipo version ya PC nipakue
kwa upande wa pc google chrome wameiboresha sana inaelekea kuwa kama standalone OS kwa baadae.Habari wakuu naomba mnijuze kama kuna web browser iliyo na speed na yenye extension nyingi kushinda google chrome
nataka nijaribu browser mpya maana hii chrome nimetumia miaka mingi sasa japo iko safi na inanitimizia kila nachokitaka