Upepo wa Pesa
JF-Expert Member
- Aug 8, 2015
- 21,258
- 34,206
Acha kejeli dogo! Usiwapangie watu cha kusoma. Fanya yakoSijui labda mimi ndio sielewi!!
Serikali ndiye mwajiri mkuu wa walimu, na serikali haitoi ajira (ukiacha zile za kisiasa zilizo tangazwa juzi)...
Umetumia kigezo gani kuniita dogo?Acha kejeli dogo! Usiwapangie watu cha kusoma. Fanya yako
Unawez = unaweza.Kwanza Sio Lazima KUAJIRIWA unawez kujiajir vile vile kwa hiyo EDUACTION uliyo andika
Natamani iwe uongo maana kukosekana kwa ajira za uhakika tokea 2015 mpaka leo hali ni mbaya sana.Hapana hakuna anayeomba kusomea ualimu. Aliyekuambia amekudanganya ulichosikia na kuona vyote ni uongo.
Unashauri wajaribu forex?
Nakupima naona you are a low minded fellow. Pardon my French, ila acha ujuaji bro jamaa kaandika ila naona unabwabwajaUnawez = unaweza.
Kujiajir = kujiajiri.
Alafu jifunze matumizi ya herufi kubwa na ndogo.
Sent from my SM-A515F using JamiiForums mobile app
Nilimkosoa jamaa baada ya yeye kunikosoa kwamba nimekosea kuandika heading!Nakupima naona you are a low minded fellow. Pardon my French, ila acha ujuaji bro jamaa kaandika ila naona unabwabwaja
We go to Abu Dhabi for hobby, your body my new bugattiUmetumia kigezo gani kuniita dogo?
Ni wapi nimempangia mtu cha kusoma?
Una elewa maana ya kupangia mtu cha kusoma?
Sent from my SM-A515F using JamiiForums mobile app
Kwani programs (kozi) nyengine wanaajiriwa? Kila sehemu ndio hivyo hivyo la muhimu mtu asome anachotaka lakin awe na uwezo wa kujiajiri na kusoma kitu flan haimaanisha utafanya kazi ktk hiyo field. Fikiria zaidiSijui labda mimi ndio sielewi!
Serikali ndiye mwajiri mkuu wa walimu, na serikali haitoi ajira (ukiacha zile za kisiasa zilizo tangazwa juzi)
Bado najiuliza,
Umesoma arts na unakaa kwenye PC kujaza chuo kuomba kusoma ualimu.
Ni lazima mfike sehemu mjue suala sio uonekane umeenda chuo!
Ajira za uhakika kama ilivyo kuwa kipindi cha JK hakuna tokea 2015 lakini wewe uko busy ku apply education tena arts!!
Wenzako wako mtaani mwaka wa 5 huu na hawana ajira lakini wewe upo tu unajaza BA Education!!
Mbaya zaidi Magu aendelee mpaka 2025!!
Daah nakuonea huruma kweli kweli yani!!
AiseeAta me nashangaa.watakua wana taka Boom tu
....πππMbaya zaidi Magu aendelee mpaka 2025!!
Daah nakuonea huruma kweli kweli yani!!
Akili mgando kabisa, aliyekwambia chuo ukisoma lazima uajiliwe ni naniSijui labda mimi ndio sielewi!