Hivi kuna watu wana apply chuo kusoma Education?

Upepo wa Pesa

JF-Expert Member
Aug 8, 2015
21,204
34,119
Sijui labda mimi ndio sielewi!

Serikali ndiye mwajiri mkuu wa walimu, na serikali haitoi ajira (ukiacha zile za kisiasa zilizo tangazwa juzi)

Bado najiuliza,

Umesoma arts na unakaa kwenye PC kujaza chuo kuomba kusoma ualimu.

Ni lazima mfike sehemu mjue suala sio uonekane umeenda chuo!

Ajira za uhakika kama ilivyo kuwa kipindi cha JK hakuna tokea 2015 lakini wewe uko busy ku apply education tena arts!!

Wenzako wako mtaani mwaka wa 5 huu na hawana ajira lakini wewe upo tu unajaza BA Education!!

Mbaya zaidi Magu aendelee mpaka 2025!!

Daah nakuonea huruma kweli kweli yani!!
 
Hapana hakuna anayeomba kusomea ualimu. Aliyekuambia amekudanganya ulichosikia na kuona vyote ni uongo.

Unashauri wajaribu forex?
 
Nakupima naona you are a low minded fellow. Pardon my French, ila acha ujuaji bro jamaa kaandika ila naona unabwabwaja
Nilimkosoa jamaa baada ya yeye kunikosoa kwamba nimekosea kuandika heading!

Nilitaka kumuonyesha kwamba hamna mtu anakosea kwa kupenda hata yeye anaweza kukosea.

Mbaya zaidi na wewe hujajua tumeanzia wapi ukadandia mada na kuniambia mimi ni mjuaji!!

Sasa sijajua mjuaji ni mimi au yeye.

Sent from my SM-A515F using JamiiForums mobile app
 
Sijui labda mimi ndio sielewi!

Serikali ndiye mwajiri mkuu wa walimu, na serikali haitoi ajira (ukiacha zile za kisiasa zilizo tangazwa juzi)

Bado najiuliza,

Umesoma arts na unakaa kwenye PC kujaza chuo kuomba kusoma ualimu.

Ni lazima mfike sehemu mjue suala sio uonekane umeenda chuo!

Ajira za uhakika kama ilivyo kuwa kipindi cha JK hakuna tokea 2015 lakini wewe uko busy ku apply education tena arts!!

Wenzako wako mtaani mwaka wa 5 huu na hawana ajira lakini wewe upo tu unajaza BA Education!!

Mbaya zaidi Magu aendelee mpaka 2025!!

Daah nakuonea huruma kweli kweli yani!!
Kwani programs (kozi) nyengine wanaajiriwa? Kila sehemu ndio hivyo hivyo la muhimu mtu asome anachotaka lakin awe na uwezo wa kujiajiri na kusoma kitu flan haimaanisha utafanya kazi ktk hiyo field. Fikiria zaidi
 
Magufuli na sera zake za hovyo ataondoka, elimu ya mtu itabaki na kuwa msaada daima.
 
Sijui labda mimi ndio sielewi!

Serikali ndiye mwajiri mkuu wa walimu, na serikali haitoi ajira (ukiacha zile za kisiasa zilizo tangazwa juzi)

Bado najiuliza,

Umesoma arts na unakaa kwenye PC kujaza chuo kuomba kusoma ualimu.

Ni lazima mfike sehemu mjue suala sio uonekane umeenda chuo!

Ajira za uhakika kama ilivyo kuwa kipindi cha JK hakuna tokea 2015 lakini wewe uko busy ku apply education tena arts!!

Wenzako wako mtaani mwaka wa 5 huu na hawana ajira lakini wewe upo tu unajaza BA Education!!

Mbaya zaidi Magu aendelee mpaka 2025!!

Daah nakuonea huruma kweli kweli yani!!
Akili mgando kabisa, aliyekwambia chuo ukisoma lazima uajiliwe ni nani
 
Maswali ya kijinga haya
Kama watu wanazaliwa kila siku na kwa idadi kubwa Sana na wanabidi kwenda shule.
Je watafundishwa na Nani

Mimi nimefanya kazi ya Ualimu naelewa kuwa Kuna Idadi ndogo Sana ya waalimu mashuleni katika shule za Serikali .

Cha muhimu unapoenda enda kusoma Education angalia ni masomo gani Yana impact kwa jamii na Taifa kwa ujumla

Kama umesoma Art hakikisha unasoma English tu
TANZANIA tuna idadi ndogo Sana ya waalimu wa English

Sasa Mtu anaenda Soma History au Sijui Lierature yaani hapo unabidi kujilaumu wewe Mwenyewe
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom