hivi kuna virtual mashine ya symbian? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

hivi kuna virtual mashine ya symbian?

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by elmagnifico, Mar 2, 2012.

 1. elmagnifico

  elmagnifico JF-Expert Member

  #1
  Mar 2, 2012
  Joined: Jul 7, 2011
  Messages: 7,913
  Likes Received: 7,458
  Trophy Points: 280
  wanajamvi katika masuala ya os za comp unaweza weka virtual mashine kwenye comp yenye os ya mac ili utumie software za window,
  Sasa swali langu je hakuna virtual mashine za simu ili niweke kwenye nokia yangu niweze tumia tapatalk maana tapatalk naona ina run kwenye ios na android tu
   
 2. Chief-Mkwawa

  Chief-Mkwawa Platinum Member

  #2
  Mar 2, 2012
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 17,795
  Likes Received: 7,119
  Trophy Points: 280
  Una maanisha emulators?? Kama maana ni moja nafahamu moja inaitwa styletap ambayo ukiinstal unainstall software za palm (old version)
  Ndo njia maarufu ya kucheza game za ps 1 kwenye nokia
   
 3. elmagnifico

  elmagnifico JF-Expert Member

  #3
  Mar 2, 2012
  Joined: Jul 7, 2011
  Messages: 7,913
  Likes Received: 7,458
  Trophy Points: 280
  Kama mfano huo kaka je haujui ya android
   
 4. elmagnifico

  elmagnifico JF-Expert Member

  #4
  Mar 2, 2012
  Joined: Jul 7, 2011
  Messages: 7,913
  Likes Received: 7,458
  Trophy Points: 280
  ntaipata wapi hiyo styletap
   
 5. Chief-Mkwawa

  Chief-Mkwawa Platinum Member

  #5
  Mar 2, 2012
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 17,795
  Likes Received: 7,119
  Trophy Points: 280
  Ingia homepage yao styletap.com

  Dah kwa android sijaona kwa symbian labda pc ila kuna moja ya android unachange muonekano wa menu na screen ya symbian only na sio softwares kuinstall
   
 6. Kang

  Kang JF-Expert Member

  #6
  Mar 2, 2012
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 5,121
  Likes Received: 616
  Trophy Points: 280
  Yaani unataka kutumia tapatalk kwenye computer badala ya kutumia browser kamili? sio kwamba unakuwa unajilimit zaidi?

  Anyway unaweza ukainstall emulator ya Android kama unataka nenda Android SDK | Android Developers kisha fuata maelekezo, baada ya hapo itabidi upate a apk ya TapaTalk kisha uiinstal kwenye hiyo emulator.
   
Loading...