Hivi kuna uwezekano wa kupata muwekezaji kuwekeza kwenye eneo kujenga jengo kwaajili ya makazi au biashara ama vyote kwa pamoja?

Arthur suarez

Member
Feb 8, 2013
5
2
Hivi Kuna uwezekano wa kupata muekezaji kuwekeza kwenye eneo /kujenga jengo kwaajili ya makazi au biashara ama vyote kwa pamoja?
 
1)Una eneo la ardhi

2) eneo lile hutaki kuuza moja kwa moja unahitaji mtu aje kuwekeza either kujenga jengo la biashara ama makazi kwa mkataba fulani

3) baad ya mkataba kuisha umiliki unarud kwako

Je kitu hiki kinaweza kufanyika Na kwa njia zipi?
Inawezekana, ila wawekezaji hawapendelei kuwekeza katika aina hii kwa sababu kuu 2 nizijuazo
1. Sheria ya nchi inatamka kuwa ardhi ni mali yake sio ya wananchi, hivyo inaweza amua chochote na wakati wowote

2. Uwekezaji kwenye nyumba ya kupanga , faida yake inarudi kidogo kidogo, wawekezaji hawana muda wa kusubiri vifaida vidogo vidogo.
 
Back
Top Bottom