hapo umeongea na wala ckupingiKilakitu kinakuwa na umuhmu pale kinapohtajika, kwahyo binafsi naweza sema ULAZIMA UPO au HAUPO inategemeana na wakati na mazingira alionayo mtt.
hapo umeongea na wala ckupingiKilakitu kinakuwa na umuhmu pale kinapohtajika, kwahyo binafsi naweza sema ULAZIMA UPO au HAUPO inategemeana na wakati na mazingira alionayo mtt.
Wanajamvi,
Naomba mnijuze kwa wale wenye uzoefu na wale ambao bado hamjafanya maamuzi
kuoa au kuolewa sio lazma ila ni uamuzi wa busara na heshima kwa mtu binafsi katika tamadun na jamii kwa ujumla mtu kukaa na mwenzie pamoja na hapo ndipo kuoa na kuolewa kunapokuja ila ni tamaduni fulan japo sio lazima
Kuna jamii, kama Marekani kwa mfano, kiwango cha talaka ni 50%, halafu mwanamme ukioa, ukajenga maisha (nyumba, watotot etc) na mke wako, mkija kuachana, utaratibu unampendelea mwanamke abaki na nyumba na watoto na wewe uane kivyako.
Katika jamii kama hii watu -hasa wale wa hali ya chini na kati- wakikataa kuoa hata sishangai.
ninashndwa kuelewa unaogopa kuoa au kuoelewa kuwasababu umechuma mali peke yako hvyo ukija kuoa au kuolewa mkija kuachana mtagawana mali ambazo uliangaika mwenyewe kama ni hvyo bas usifikirie kuoa au kuolewa. Kuhusu jamii kumpendelea mwanamke sio marekan hata hapa tanzania ipo ila itafika kipind hata sisi wanaume tutakuja kudai uhuru wetu mana hii tabia ya haki sawa na mwanamke kipaombele hii itatumaliza
.....Hili swali ni sawa na kuuliza je kuna ulazima wa kufanya mapenzi?
Wanajamvi,
Naomba mnijuze kwa wale wenye uzoefu na wale ambao bado hamjafanya maamuzi