Kuna baba mmoja alipata story kuwa best friend wake ndiyo anatoka na mkewe kwa siri sana. Alifanya utafiti alipogundua alimbwaga wife akaoa mchepuko. Siku moja anarudi kutoka safari anamkuta mchepuko ambae ndiyo mke mpya ameingiza jamaa kwenye chumbani kwao. Alilia sana, alisema kheri mke wangu aliniheshimu alifanyia huko, leo wewe unafanya kwenye kitanda ninacho lala. Alimbwaga mke mpya na kwenda kumpigia magoti mkewe.
Kila siku una somo jipya LA kunifundisha, that's why I love you madlyKuna baba mmoja alipata story kuwa best friend wake ndiyo anatoka na mkewe kwa siri sana. Alifanya utafiti alipogundua alimbwaga wife akaoa mchepuko. Siku moja anarudi kutoka safari anamkuta mchepuko ambae ndiyo mke mpya ameingiza jamaa kwenye chumbani kwao. Alilia sana, alisema kheri mke wangu aliniheshimu alifanyia huko, leo wewe unafanya kwenye kitanda ninacho lala. Alimbwaga mke mpya na kwenda kumpigia magoti mkewe.