Hivi kuna ukweli ndani yake?

Hivi kuna ukweli ndani yake?

Jaaphar

Member
Joined
Jun 8, 2016
Posts
12
Reaction score
0
Habari zenu wakuu, kuna swali lanitatiza nina mdogo wangu kamaliza certificate ya ualimu mwaka huu ila nasikia eti walimu wote wa msingi wanatakiwa wawe na dipolma, je kuna ukweli wowote juu ya suala hili? Msaad wakuu.
 
Ni kweli walimu wote wa shule ya msingi wanatakiwa wawe na diploma watatumia cheti cha certificate kusoma diploma Elimu msingi
 
Shukran mkuu kwahyo dogo inabidi akaongeze level
 
Back
Top Bottom