Hivi kuna ukweli hapa?

Accidental Genius

Senior Member
Aug 17, 2019
154
188
Katika maneno haya ya mpoki,kuna ukweli hapa???

Watu wazima mnasemaje?
IMG-20190820-WA0053.jpeg
 
Mimi naona ninkweli kabisa. Pesa ya mwananke ina lawama sana. Maana yake ni kwamba jukumu la familia ni la mume ukikosea ukatumia pesa ya nke hawakawii zdharau hao kusema huna kitu yeye ndiye anayelea familia na kukulea wewe. Yaani hata iweje kuna siku lazima utasimangwa tu mpaka ujute
 
Mnaosema sema pesa ya mwanamke ni ngumu hamjiamini tu. Wanawake hawa mnaowasema wanaume wakiyumba ndio watoa msaada mkubwa sana katika nyumba.
Sorry mkuu
Swali langu ni OP, hivi hili wimbi la wadada kupiga picha vishundu vyao mbona linatrend sana kwa sasa?
 
Back
Top Bottom