Mhadzabe
JF-Expert Member
- May 20, 2009
- 3,228
- 4,734
Hebu nenda YouTube au Google Poli la Rushwa unaweza kuona.Niliona muhutasari wake katika Citizen TV but sikupata muda wa kukiona choe kiliporushwa
Mkuu wa chuo Mwanamama Prof yupo nyumbani kwake kaweka miguu juu ya meza huku kakalia sofa, anatoa maagizo tu kama kwamba anamwambwagiza shamba boi wake hahah