Hivi kuna tabia ya kabila fulani?


Wahaya ndugu hapo kweli maana hata mwananyamala karibu na hospital,kuna sehemu Panaitwa kwa Wahaya,basi hapo giza likiingia tu Utasikia Kihaya na biashara inaendelea kama kawaida,iyo sehemu ukishuka tu kituoni hospitali ya mwananyamala upande wa kushoto aisee,kuna vyumba vingi sana vya Wahaya..
Abt Wahehe Umepatia maana nina mchepuko wangu ni muhehe basi jeuri na kiburi uyo mpaka shida ndugu yangu....
 
Naomba kujuzwa tabia za Wanyakyusa na wajaluo kwa wanaojua watu hawa vizuri.

Wanyakyusa wakalimu,wenye busara,hekima na upendo na wanapenda sana maisha mazuri na ni watendaji pia,hayo ndo nayajua,so kama kuna mwingine anaweza ongezea itakuwa vizuri sana
Nashukuru..
 


Kwa wahaya umesahau umalaya usio na akili, wanyakyusa, wapare hawa ni viboko wa ugawaji na hawajuwi kukataa wanaume. Wanasuguana zaidi misibani tena bila kujali afya zao. Hatari sana.
 
Kwa wahaya umesahau umalaya usio na akili, wanyakyusa, wapare hawa ni viboko wa ugawaji na hawajuwi kukataa wanaume. Wanasuguana zaidi misibani tena bila kujali afya zao. Hatari sana.

tatizo la kulelewa na watoto wenzio wa mtaani...street children are safer here..maana they dont belong to any kabila so we cant touch them
 


funny..kwa mujibu wa maelezo yako ni kuwa uliwatambua kwa kuwa wanaongea kihaya...right?

questions:
1. Haya madanguro mengine yaliyojaa Dar nzima yamejaa wanawake wa makabila gani?
2. Wanawake wanaojiuza wakiongea kihaya na wasioongea kihaya wana tofauti gani kikazi?
3. Unamjua mwanamke yeyote (angalau mmoja) Dar hii ambaye unaweza kumfanya bila kumpa hela?


Kama kwenye familia yenu kuna mwanamke anayefanywa bure (excluding your mom) naomba namba yake. anastahili test pamoja na zawadi
 

Mkuu we ni mtani wangu asante kukufahamu,
 

Wala usiogope mkuu hii jf ndio hivo tena unang'ata huku unapuliza tu
 
tatizo la kulelewa na watoto wenzio wa mtaani...street children are safer here..maana they dont belong to any kabila so we cant touch them


Hakuna cha utoto hapo, I know what I am talking about linapokuja suala la haya makabila kwani nimeishi mikoani mwao kwa vipindi tofauti na hakuna mtu wa kabila/makabila hayo atakayebisha ukweli huu. It's the plain truth sema tu ukweli unauma.
 
Hakuna cha utoto hapo, I know what I am talking about linapokuja suala la haya makabila kwani nimeishi mikoani mwao kwa vipindi tofauti na hakuna mtu wa kabila/makabila hayo atakayebisha ukweli huu. It's the plain truth sema tu ukweli unauma.

every fool knows what he is talking about...only he doesnt know how foolish it sounds...watu kama nyie huwa mnaongozwa na prejudices, drawing conclusion based on flimsy data or simply based on what you heard from other people

huwezi ukaleta findings zako ambazo hazina supporting data kwamba hiyo research umeifanya kwa sample kiasi gani na matokeo yako yana parcentage kiasi gani na umei-compare vipi na makabila mengine...thats why huwa mnakimbilia kusema makabila mengine wanajiona wasomi..kwa nini wasijione wasome iwapo wanadeal na watu kama wewe?

na I believe vijikabila vyenu ni vile visivyokuwa na anything worthy being talked about so out of inferiority complex mnakimbilia ku-belittle makabila mengine

Mna bahati mbaya kuwa unaweza kubadili chochote lakini sio kabila..mngeshahamia makabila mengine
 
Sikupingi kwani ninajua kuwa ujumbe umeupata na ndiyo maana unakurupuka kujibu.

ujumbe? oh, sure! ila mimi nisingeita ujumbe bali ningeita findings... nimezipata..about someone's intelligence and thinking capacity
 
Wanyamwezi hawa naweza kusema ni kabila ambalo lina watu wavivu na hawapendi kusoma Nilisoma Shule ya Wavulana Tabora Darasa nililosoma lilikua halina mnyamwezi hata mmoja Combination zote .Wanawake wa kinyamwezi hupenda kusugua nyayo tuu na wanaume vijiweni tuu majungu na milegezo kwa vijana wakilalamika kuwa serikali haina ajira na wezi nakumbuka wakati nipo kule jamaa alituletea Chupa ya chai ambayo ilikua na uji ndani yake tulivyofanya utafiti tukagundua kaiba kwenye treni pale station.


Hapo kwenye nyekundu umenikumbusha mbali sana miaka ya mwanzoni mwa Tisini wanawake wa Kiongozi walikuwa wanatabia kama hiyo yaani kusugua miguu kwelikweli na kukaa kibarazani jioni ili uione miguu yake ikiwa meupe kumbuka kipindi hicho kulikuwa na Magonjwa kama ya Makenya-miguu kupasuka na Funza. Nimecheka sana ndugu
 
Capt Nemo uko too academic mambo mengine hayahitaji academic research but simple overview ya maisha ya jamii husika hata hizo academic research nyingi haziko fact 100%, Thats why kuna Null hypothesi mwisho wa siku inatakiwa ureject au ua accept na watu wengi hufoji data ili kufikia malengo jamaa yuko right kwa kutumia simple research tools of Observation over!
 



Ukitaka kumjuwa mtu vizuri ishi naye and I lived in those regions, go figure. Nikuulize, unatokwa na povu for what reason?
 
Ukitaka kumjuwa mtu vizuri ishi naye and I lived in those regions, go figure. Nikuulize, unatokwa na povu for what reason?

povu? ooh lazima litoke ninapokutana na mtu ambaye mamake alikuwa anakeep kadi 3 za clinic zenye jina moja la mtoto na majina ya akina baba watatu tofauti - offering the kid to the best bidder..then same kid anagrow up na kuwaita wanawake wa makabila mengine kuwa ni malaya!!!!
 
na mutuwache tulale looo yani kwa kukandia makabila humu hamjambo
 


Si vema kutokwa na povu na kujichanganya kihivyo....just deal with it na uwaambie wanawake wa kwenu waache hii tabia ya umama huruma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…