themagnificient
JF-Expert Member
- Dec 13, 2016
- 1,065
- 3,842
Wanasemaga Kigoma mwisho wa reli
Kuna Route ndefu kutoka Dar kwenda mikoa mingine kuliko Karagwe kweli! Naona ni balaa parefu halafu basi lipo moja tu City boy