Hivi kuna Raha Gani Ya Kuvuta Sigara Na Shisha.

frema120

JF-Expert Member
Jan 1, 2012
5,099
1,338
Nataka kujua hii kitu, kwani kuna mtu kaletwa ofisini anavuta sigara kila mara chooni mpaka na muonea huruma sana.

Kuna mwingine nilikutana naye semina (officer kabisa tena smart) anakula ugoro balah chooni na kutema tema mate kweli.

Mwingine kila siku akitoka kazini upita pale opp mango na kula/kuvuta shisha.

SASA HIVI;~
~ Kuna raha gani ya kuvuta sigara
~ Hivi shisha ni mchanganyiko wa nini, simpendi mtu anayevuta.
 

Wewe utakuwa wa jinsia ya ke .
 
kuna siku nlimuliza mvuta sigara aliniambia sigara inamsaidia kupunguza baridi ndani ya mwili wake
 
lakini unautangaza kabisa huo ugoro
frema120
 
shisha ina nguvu sana zaidi ya sigara, wajinga wanaiga sababu wanaona kwenye tv watu wanatumia, hakuna raha yoyote kwenye smoking sema walio addicted kuacha inahitaji umuue afu umfufue.. kuna jamaa moja chuo nlichosoma mwaka jana alikua anavuta shisha balaa kamedhohofika mwili ukikasukuma kanaenda, nliingia room yake sekunde 30 kichwa kiliuma masaa ile harufu tu..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…