Hivi kuna mwanaume hajatahiriwa karne hii?

Hivi kuna mwanaume hajatahiriwa karne hii?

Hata mimi bado km kuna mdada anabisha aje kule pm athibitishe mwenyewe sipendi majungu mie!
 
Wapo sana,mi nimekutana nae,anapata shida sana siku ya kwanza nikajiachia twende tugaoke bwana weeeh baada ya mimi kugeuka yeye akanipa mgongo,akapanda kitandani kajifunika shuka nikawa nina maswali kichwani,siku ya pili akalewa sana si tukaenda kufika kitandani hataki umshike kwa ofisi,nikawa mpole tuu
Ila alipolala nikasema leo lazima nijue anatatizo gani kwanini anajificha hivi bwana weeeh nikakutana na Mkono sweta nilimuonea huruma sana
NB:Kiukweli mwanaume km hajatoa sweta anakuwa hana amani,raha na hayupo huru kujiachia
Kwa huyu ilibidi niongee nae nkamwambia inabidi utoe km ulikutana na wanawake wengi nkamwambia mimi nitahakikisha unatoa halafu km kuachana tuachane,ile toka siku hyo mapenzi ymeshuka wala habari nina kiu hakuna ila anatia huruma hasa akiwa chumbani ila nje weee Hatari Hatari.
 
Hii ni kwasababu tumeifanya kuwa mila na desturi kwa watanzania, ukitoka hapa kwetu kushuka chini, Zambia,Malawi, Botswana mpaka kwa Madiba tohara hawaijui ni katika jitihada za kupambana na UKIMWI ndio kidogo watu wamepata uelewa.
 
etii wanasema wanaume wenye mkono wa sweta ni "watamu" sana
Wadada thibitishen basi
 
Hivi wanaume karne hii wanazaliwa wakiwa wametahiriwa..??

Hapana ila ile kitu inaweza kuondolea ndani ya wiki kama sikosei kwa kuwekewa kitu wanaita kwa kienyeji 'pete'. Hivyo huyo dogo asipoambiwa ukubwani jinsi mambo yalivyokuwa anaweza kudhani alizaliwa hivyo.
 
Hivi kuna wanaume ambao hawajatahiriwa karne hii jamani? Maana hata serikali imefanya sana operesheni za kuhimiza watu watahiriwe.

Swali:
Kwako msichana, ikitokea unakutana na boyfriend wa dizaini hiyo utaahirisha au?
Kwa mila zako! Kutahiri sio mila za wote! Wazungu hawatairi na sio dhambi au kutostaarabika. Ni matter of mila na desturi za makabila yetu! Pwani is OK, bara is not something to celebrate ondoa wakurya)
 
teh mm yangu imetahiriwa kimila halafu kuna nyama imening'inia maduu wanaizimikia balaa
 
Back
Top Bottom