Hivi kuna Mwanamke Mrembo JF?

britanicca

Platinum Member
Joined
May 20, 2015
Posts
18,063
Reaction score
47,048
Ni swali tu, maana nahis JF ni forum ya wagumu, haitoi fursa kutangaza uzuri wa mtu kwa sura, au Amber ruti yake,

Katika mawazo Nawaona wadada wa JF kama wale wadada waliokuwa wanaongoza masomo ya sayansi shuleni, yaan sura Ngumu ngumu tu

Maana mtandao wa GT huu hauwezi kupata watoto warembo

Sijaponda mtu japo wapo wale kama kina kapeace nahis ni miongoni mwa wachache warembo, sijamsahau Demiss na Miss Natafuta Kuna Toto la Kinyarwanda roselina john


Nataka kuwaona design hii

Ikumbukwe nimeandika nikiwa nimelewa
 
Basi kama umeandika kwakuwa umelewa hakuna shida.
 
[emoji23][emoji23][emoji23],hivi kwa nini watu wenye sura ngumu wanakuwaga na akili?
NB: Sijasema wazuri hawana akili na wala sijamaanisha wenye sura ngumu wote wana akili
 
Kuna group fulani linaitwa makapuku Kuna pisi kali kweli yaan [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uzuri wa Mwanamke siyo Ulembooo ni tabiaaa siyo ule..... Ni tabia siyo ule mbooo ni tabia
 
[emoji23][emoji23][emoji23],hivi kwa nini watu wenye sura ngumu wanakuwaga na akili?
NB: Sijasema wazuri hawana akili na wala sijamaanisha wenye sura ngumu wote wana akili
Wanakuwa wametumwa na vijiji
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…