Hiyo para ya mwisho u nailed it. Waswahili wana msemo wao ukiona mahusiano yamekaa kwa muda mrefu ujue neno samahani, nisamehe limetumika sana.Wa kwangu.... huyu mwanamke wangu ingekuwa ni data basi ni 'outlier' , siwezi ku claim ni mkamilifu ila anaonesha utofauti mkubwa sana na wanawake wengine halafu she is only 22.. mchaga mwenzangu .. yeye pesa anakuambia anatafuta zake which means forever hawezi kurubuniwa kwa pesa.. ila nimeapa kumfungulia biashara kubwa soon nione atavoenda...
Mi naona wanawake wazuri bado wapo kibao.. na uzuri ni subjective.. wewe hao unaowaona kwako hawakufai wanaenda kwa mwanaume mwingine wanaonekana wife materials. Hata wangu kwako anaweza asiwe wife material coz kuna tabia wewe utashindwa kuzivumilia utamuona hafai.
Haya mambo nimejifunza pia yanataka uvumilivu na kujishusha sana tu.. usidharau nguvu ya ubongo wako pia. mwanamke mzuri unaweza kumtengeneza wewe pia kulingana na namna mnavyohusiana kila siku.
Uvumilivu ni kitu muhumu mno kuishi na nyie... mi kuna tabia nilikuwa sizipendi ila kutokana na kuvumilia sasahiv nimeziona za kawaida na wala sioni kama ni issue kubwa tena.... lakini laiti kama ningeshindwa kuvumilia ina maana ningejikuta namchoka mapemaHiyo para ya mwisho u nailed it. Waswahili wana msemo wao ukiona mahusiano yamekaa kwa muda mrefu ujue neno samahani, nisamehe limetumika sana.
Uvumilivu ndio nguzo muhim kabisa
HahaWanaume tuwe na uelewa, kama binti umemkuta hana bikira si wako, xo kuna mwenza wake aliyemtoa bikira na hawezi kumnyima hata ck moja licha ya kuwa haishi naye kamwe, kwa hiyo ukiona kakuacha ujue kapata mwingine kama alivokuja kwako na kumwacha mwanaume mwenzako akiwa na maumivu kama unayoyapata wew, MKE HALISI NI YULE ULIYEMTOA BIKIRA NDUGU wanaume wenzagu, mtoa bikira kwa msichana hasahauriki ata siku moja, maana ndo aliyemwingiza mjini {a.k.a MAHABA} ni sawa na wakala wa mess kumtoa kijijini kwao ARGENTINA hadi BARCELONA
Sana yan
chalii jichunguze asee utakua una tatizo sio bureHabari yenu
Wenzangu nimepitia mengi kama mwanamke mwenye ugumba, sina chuki za Ccm kwenye ubongo wa Lipumba,
Wanawake zaid ya watatu wote nagundua wasaliti,
Hivi kuna mwanamke ambaye si msaliti? Hasa linapokuja suala la kurubuniwa na pesa?
Haya mambo nimejifunza pia yanataka uvumilivu na kujishusha sana tu.. usidharau nguvu ya ubongo wako pia. mwanamke mzuri unaweza kumtengeneza wewe pia kulingana na namna mnavyohusiana kila siku.