Hivi Kuna Mwanamke Ambaye Hajui Kupika?

Hivi Kuna Mwanamke Ambaye Hajui Kupika?

Si tunahire mdada atupikie?
Aaah! Kuna kipindi wadada huwa wana umwa au wanakuwa hawapo lets say kaenda kwao. Au ndio tunatafuta mwingine. Hatuez kula hotelini daily au hatuwez sema mi nipike daily. Nikianza kupika bas bora wewe ukatafute hela niwe tu baba wa nyumbani maana hamna namna.
Pia its romantic kula chakula cha mkeo.
 
Kadri siku zinavyoenda wanawake hasa walioolewa wasiojua kupika ndo wanaongezeka, kwa sababu wanawaachia wasichana wa nyumbani kazi ya kupika. Wao na mabinti zao wako busy.!
 
Hapa JF kila mwanamke ni msomi, anakazi nzuri, kitanadani ni mzuri, anajua kupika, anaishi ushuani, anavaa designer gear, anaendesha gari nzuri.

Hao wasiojua kupika utakutana nao mtaani.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kina mwajuma ndala pia wapo humu wanatumia JF ohoooo, JF ya zamani sio kama hii ya leo
 
Back
Top Bottom