CHAGADEMA mnatafuta kashfa kwa JPM mnazikosa '' Magufuli is doing well'' CHADEMA badala ya kujenga chama kuanzia ngazi ya shina, Kijiji, Kata, Wilaya hadi mkoa mmekalia majungu mitandaoni, mmeajiri vijana kama wakina Malisa na Nkya na mnawalipa ruzuku ya Chama huku mkifikiri siasa za mitandaoni ndo njia ya kushinda Uchaguzi.Jengeni chama kuanzia ngazi ya shina vinginevyo hata mwaka 2020 mtasema mmeibiwa kura kama Laila Odinga. Mwaka 2015 mlipata majimbo 36 kati ya majimbo 246 msipoangalia hata hayo majimbo 35 mtayapoteza CCM itashinda kwa kishindo kama hamtajenga chama . Sisi watumishi tunamkubali rais wetu hatudanganyiki