Hivi kuna mtumishi wa umma anawaza kuipigia kura CCM!?

Kwenye serikali hii watumishi wa umma wanapitia kipindi kigumu sana kuwahi kutokea tangu nchi yetu ipate uhuru. Wanapelekwapelekwa tu, hakuna kupanda cheo, mshahara,posho kutishwa na kukashfiwa kila siku.
Aliyekuambia kura yako ndiyo itakayoamua mshindi.
 
CHAGADEMA mnatafuta kashfa kwa JPM mnazikosa '' Magufuli is doing well'' CHADEMA badala ya kujenga chama kuanzia ngazi ya shina, Kijiji, Kata, Wilaya hadi mkoa mmekalia majungu mitandaoni, mmeajiri vijana kama wakina Malisa na Nkya na mnawalipa ruzuku ya Chama huku mkifikiri siasa za mitandaoni ndo njia ya kushinda Uchaguzi.Jengeni chama kuanzia ngazi ya shina vinginevyo hata mwaka 2020 mtasema mmeibiwa kura kama Laila Odinga. Mwaka 2015 mlipata majimbo 36 kati ya majimbo 246 msipoangalia hata hayo majimbo 35 mtayapoteza CCM itashinda kwa kishindo kama hamtajenga chama . Sisi watumishi tunamkubali rais wetu hatudanganyiki
 
Photo from bndilahomba.jpg
 
Yangu iko pale pale kwa Dkt Magufuli naamini rais wangu mpaka 2025 kwani ni rais anaye heshimu katiba ya nchi!!
 
Hivi mnadhani watu wengi wa kawaida wanaozuia misafara kila siku ya JPM ukifika uchaguzi watamchagua nani? 2020 ni zaidi ya kimbunga JPM atapata zaidi ya %85 robo3 ya wabunge wa Ukawa hawatorudi!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tupo wengi sana Mkuu.
JPM karudisha heshima ya watumishi.
Wanaopiga kelele humu ndani watakuwa ndio wale waliotumbuliwa kwa vyeti feki.
JPM ndiyo habari ya mjini.
Matumishi ya umma ni nyoko mno,, wala usihangaike nayo yalishazoea kufanywa punching bag! Huku nilipo yapo yanapiga vigeregere!
 
Tupo wengi sana Mkuu.
JPM karudisha heshima ya watumishi.
Wanaopiga kelele humu ndani watakuwa ndio wale waliotumbuliwa kwa vyeti feki.
JPM ndiyo habari ya mjini.
Matumishi ya umma ni nyoko mno,, wala usihangaike nayo yalishazoea kufanywa punching bag! Huku nilipo yapo yanapiga vigeregere! Ni heshima gani uliyorudishiwa kapuku wewe?
 
Magu piga kazi baba diwani wangu wa chadema alkua hana gar kpnd anapata udiwani ila saiv evuta Noah
Hawa ndo wale wale wapigajii wasituongopeee, mbunge wangu nae wa chadema anapandisha gorofa yke

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani PhD ndiyo iqualification ya nafasi aliyonayo?
Hivi mmempeleka wapi Ben?
Mmemsaliti kijana mmebaki kuwashangilia ACACIA na wakamata Bombadier zetu.
Mnawasikitikia akina Manji na Singasinga lakini mmemtelekeza Ben.
PhD ni halali?
 
Labda mtumishi wa kijiko

Sent from my Nokia ya Tochi using JamiiForums Mobile App
 
6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom