Hivi kuna mtumishi wa umma anawaza kuipigia kura CCM!?

Kwenye serikali hii watumishi wa umma wanapitia kipindi kigumu sana kuwahi kutokea tangu nchi yetu ipate uhuru. Wanapelekwapelekwa tu, hakuna kupanda cheo, mshahara,posho kutishwa na kukashfiwa kila siku.
wewe unaumwa gonjwa gani?wapande cheo na mshahara kwa output ipi?dawa wanaiba,hupasuliwi bila ya kutoa rushwa ukikataa utapasuliwa kichwa badala ya goti,mafaili hayaonekani,barua hazijibiwi,email haziendi hakuna anaejali
Hakuna pesa ya bure lazima watuoneshe kuwa wamebadilika
 
PhD ni halali? Ben aliichambua vizuri sana!

Kwani PhD ndiyo iqualification ya nafasi aliyonayo?
Hivi mmempeleka wapi Ben?
Mmemsaliti kijana mmebaki kuwashangilia ACACIA na wakamata Bombadier zetu.
Mnawasikitikia akina Manji na Singasinga lakini mmemtelekeza Ben.
 
Unafikiri wanawaza namna ya kupigiwa kura,wanawaza ni jinsi gani tume iwape ushindi,upige Kura usipige watatangazwa kuwa washindi.

Philips X2560
 
Kwenye serikali hii watumishi wa umma wanapitia kipindi kigumu sana kuwahi kutokea tangu nchi yetu ipate uhuru. Wanapelekwapelekwa tu, hakuna kupanda cheo, mshahara,posho kutishwa na kukashfiwa kila siku.
Tupo wengi sana mkuu na mimi ni mmoja wao , na nitampigia kura magufuli wakati wowote atakapo gombea katika nchi hii.
 
Back
Top Bottom