Watu wako bize na kuongoza nchi hawawezi kusumbuliwa kujibu mtu asiejielewa. Amekuwa popo haikulikani ni ndege au Mnyama. Pole pole wa wakati wa Regime ya Magufuli ni tofauti na Pole pole huyu.Salaama wanjamvi
Napenda kujuzwa kama Balozi Polepole amejibiwa kivyovyote vile na mtu/kiongozi kutoka Serikalini au chama CCM na kama ndio tupia hapa mambo kwa ushahidi
Asantenwa
Mkuu kwa hiyo ndiyo kusema ile issue ya mtandao kukosekana jana kote nchini kumbe ilikuwa hitilafu ya kawaida tu, wala haikuwa na uhusiano na press ya Polepole maana jamaa hana impact yoyote?Watu wako bize na kuongoza nchi hawawezi kusumbuliwa kujibu mtu asiejielewa. Amekuwa popo haikulikani ni ndege au Mnyama. Pole pole wa wakati wa Regime ya Magufuli ni tofauti na Pole pole huyu.
Huyu tunamuachia kina Kibajaji tu na Msukuma wataruka nae.
Wananchi wanahitaji maendeleo toka kwa viongozi wao na viongozi makini can never be derailed.
Kama anahoja anaweza kufanya mambo 2..kuandaa hoja kuomba Mkutano Mkuu aeleze hizo porojo zake au aende Mahakamani...otherwise OKTOBA TUNA TIKI
Zaidi ya mavuvuzela ( machawa) hakuna official response so far!Salaama wanjamvi
Napenda kujuzwa kama Balozi Polepole amejibiwa kivyovyote vile na mtu/kiongozi kutoka Serikalini au chama CCM na kama ndio tupia hapa mambo kwa ushahidi
Asanteni
Ukweli mchungu mkuu.Salaama wanjamvi
Napenda kujuzwa kama Balozi Polepole amejibiwa kivyovyote vile na mtu/kiongozi kutoka Serikalini au chama CCM na kama ndio tupia hapa mambo kwa ushahidi
Asanteni
Jana nimeshangaa Steve Nyerere anahojiwa kuhusiana na matamko ya Polepole!! Nikasema hakika hii nchi hatuko serious.DOKTA Mwijaku na profesa baba levo HII nchi kwa kweli. Inachekesha na kusikitisha. NAKSUBIRI injinia Steve ake
Inakua NGUMU hata kuhurumianaJana nimeshangaa Steve Nyerere anahojiwa kuhusiana na matamko ya Polepole!! Nikasema hakika hii nchi hatuko serioushii
Hata Gwajima angeongea kipindi bunge limevunjwa hakuna kelele tungeisikia,hata saivi yeyote akiongea jambo wale wajinga waliotuita kenge hawana sauti maana wakiwaga bungeni ndio wanakuaga kama wanafunzi wa std 3 a!Salaama wanjamvi
Napenda kujuzwa kama Balozi Polepole amejibiwa kivyovyote vile na mtu/kiongozi kutoka Serikalini au chama CCM na kama ndio tupia hapa mambo kwa ushahidi
Asanteni
Wataanzia wapiSalaama wanjamvi
Napenda kujuzwa kama Balozi Polepole amejibiwa kivyovyote vile na mtu/kiongozi kutoka Serikalini au chama CCM na kama ndio tupia hapa mambo kwa ushahidi
Asanteni
Ndiyo maana Lucas yuko kimya anajua jumba bovu alilotikisa linaenda kumwangukia,uchawa mbaya sanaUjasiri wanautoa wapi? amejibiwa na makunguni tu akina Lucas
Wamemtuma mafufu ndo amjibu🤣🤣🤣Salaama wanjamvi
Napenda kujuzwa kama Balozi Polepole amejibiwa kivyovyote vile na mtu/kiongozi kutoka Serikalini au chama CCM na kama ndio tupia hapa mambo kwa ushahidi
Asanteni
Anasoma alama za nyakati.Ndiyo maana Lucas yuko kimya anajua jumba bovu alilotikisa linaenda kumwangukia,uchawa mbaya sana
Kwani kaongea nini Hadi ajibiwe?!!!Salaama wanjamvi
Napenda kujuzwa kama Balozi Polepole amejibiwa kivyovyote vile na mtu/kiongozi kutoka Serikalini au chama CCM na kama ndio tupia hapa mambo kwa ushahidi
Asanteni